cognition
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 1,287
- 1,389
MAHAKAMA ya haki za binadamu barani Afrika leo imeahirisha kesi ya mwanasiasa mwanamama kutoka nchini Rwanda Victoire Ingabire baada ya serikali ya Rwanda kuwasilisha barua mbele ya mahakama hiyo ikitaka ushirikiano kati ya Rwanda na mahakama hiyo iliyoasisiwa na umoja wa Afrika usitishwe.
Chanzo: DW (KISWAHILI)
Chanzo: DW (KISWAHILI)