Kuna uhusiano wowote kati ya vurugu za South Africa na sakata la ndege ya Tanzania?

Igwee wana jf wenzangu,
Naomba niende kwenye swali langu,ili swala la ubaguzi Kwa madiba ni nshu ambayo inajirudia Mara kawa Mara,ila Kwa safari hii ubongo wangu umetaka kujua motives zake kama ni influence kutoka ndani ya nchi au kuna nguvu kutoka nje,maana Jana kuna waziri mmoja Wa Afrika kusini alisema wanashindwa kuwajua waanzilishi wa hill vuguvugu.akili yangu inaniambia (labda)tulitaka kuwaonesha nguvu yetu Kwa kushikilia mwewe wetu......wanajamii forum wenzangu ambao mnapenda kuwaza nje ya box mnalionaje hili.....naomba nisishambuliwe nimeamua kuwaza tofauti...karibuni
Xenophobia zilizopita kulikuwa na ndege yetu huko?
 
Ndege inakaribia kutuabongoland saiz hakuna mahusiano mkulima kala mbegu
 
Back
Top Bottom