Kama una cha kumpa MPE, Achana na habari za uzeeSasa atakuwa kashazeeka
Hataweza kucheza tena sasaKama una cha kumpa MPE, Achana na habari za uzee
Mkuu usinikumbushe Club AS Vita,enzi hizo wao na Afia ya Guinea ndiyo miamba ya soka AfrikaKassim Manara nlimwona wakati huo sijaanza hata darasa la kwanza sikumbuki mwaka ilikuwa ni Pan na Vita ya Zaire sasa Congo DRC.Nawakumbuka Lofombo,Mayanga na Lobilo ilikuwa bonge la mechi siwezi kusahau Pan Afrika walikuwa wakicheza mechi zao zote Jijini Arusha enzi hizo.
...heshima yako mzee.!Kassim Manara nlimwona wakati huo sijaanza hata darasa la kwanza sikumbuki mwaka ilikuwa ni Pan na Vita ya Zaire sasa Congo DRC.Nawakumbuka Lofombo,Mayanga na Lobilo ilikuwa bonge la mechi siwezi kusahau Pan Afrika walikuwa wakicheza mechi zao zote Jijini Arusha enzi hizo.
...Africa mpira bado upo,sema Tanzania yetu ndio mpira umepotea,sijui ni kulogwa au tulikosea wapi?!,Hao Congo DRC si ndio wameshinda Chan juzi,wenzetu siku zote wanaendelea kupiga hatua mbele,sisi tulishiriki mara moja tu,sijui 2009(sikumbuki vizuri),hatujashiriki tena mpaka leo,na hata dalili za kushiriki hakuna, hiyo timu iko wapi?!Mkuu usinikumbushe Club AS Vita,enzi hizo wao na Afia ya Guinea ndiyo miamba ya soka Afrika
Golini kama kawaida Africa One Keeper Mbuya Mupaka
Akisaidiwa na Vumbwi Katimka
Lobilo
Mayanga
Lufombo
Tete wa Tete
Acha kabisa mkuu!Afrika kulikuwa na soka bana
Nina mashaka kama Kassim Manara aliwahi kucheza na Abeid Mziba. Mimi binafsi nilimuona Abeid Mziba akicheza lakini sikuwahi kumuona Kassim Manara.Alikuwa fundi wa mipira ya tikitaka mechi yake ya mwisho kuchezea Taifa Star uwanja wa Uhuru (Taifa Zamani) zidi ya Sudan alifunga goal la tikitaka kipa wa Sudan, Himid Brema alidai amefunga kwa mkono...Cross ya Said George upande wa kulia inatua katika Kichwa cha Abeid Mziba anapiga pasi ya kichwa kwa Kassim Manara naye anageuka na kupiga Tikitaka moja Kali sana na kipa anastukia mpira umejaa kimyani.
Yaah!abeid mziba (tekelo)hagusi hapo yeye alicheza na kina minziro yusuph bana kina mwalusako huyo kassim waqt wake wa pan ndio hao kina tenga kassim matitu Ibrahim kiswabi.Nina mashaka kama Kassim Manara aliwahi kucheza na Abeid Mziba. Mimi binafsi nilimuona Abeid Mziba akicheza lakini sikuwahi kumuona Kassim Manara.
Kuna gemu ambayo bado anaicheza...Sasa atakuwa kashazeeka
Labda hiyo tuKuna gemu ambayo bado anaicheza...