Search results

  1. intelligent mind

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Habari, je unaweza muhudumia mtu hata akiwa mbali na wew yaan bila kufika kwako.
  2. intelligent mind

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Huwa unatoa huduma ya kusafisha nyota kwa gharama gani mheshimiwa
  3. intelligent mind

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mtu atatambuaje kama nyota yake imefungwa au imechafuliwa au ni mpaka aende kwa wataalam
  4. intelligent mind

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Habar, ninasikia sana watu wakiongelea masuala ya nyota swali langu ni je wachawi wanaweza kuchukua nyota ya mtu au kuichafua?
  5. intelligent mind

    Dhambi gani ambayo mwanadam akifanya hata shetani hushangaa na kumuogopa mtu huyo?

    Dhambi ya kulala na mama kwa wanaume au mama kulala na mwanae wa kiume na dhambi ya ndoa ya jinsia moja nahic ni dhambi ambazo hata shetan anakuwa surplised
  6. intelligent mind

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Habar, nimesikia eti mapacha kurogwa ni vigumu je ni kwel mapacha hawalogwi?
  7. intelligent mind

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Ni bora ujue sheria inasemaje nahis hajajua sheria inaongeleaje kuhusu madaraka ya rais , rais hatukanwi jua hilo na pia kikiwete sheria ya kukamatwa kwa watu wanao tusi mitandaoni imemkuta mwishon mwa uongozi wake so asiseme kikwete alikuwa anawaacha awal haikuepo jua hilo mm nikushaur...
  8. intelligent mind

    Mwenye tetesi na hili jamani

    July kaka kuwa mvumilivu
  9. intelligent mind

    Mpenzi wangu hapokei simu wala kujibu sms zangu, Nifanye nini?

    Jiongeze mwenyewe jua hakuna kaz ambayo utakuwa busy mda wote bila kurest coz human being are not a machine.
  10. intelligent mind

    Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

    Every work it have some challenges u should know that mr, so u have to take it as a challenge and never give up .
  11. intelligent mind

    Msichana niliyemsomesha, hanitaki tena, kapata mchumba mwingine

    Pole sana kwa yaliyo kukuta ndugu yetu. Ila naomba nikushauri ww na wengine ingawa maji yamesha mwagika na hayawez kuzoleka ila jua kuw mtoto wa kike hasomeshwi na mpenz au mume wake utakuja jinyonga, wengi wameumia sana kama ww ukienda mavyuoni ndio utajua wake za watu wanafanya nn wakiwa...
  12. intelligent mind

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole kwa hilo, ila nachojua mm kubet kuna vitu vya kuangalia na sio ushabiki mfano 1. Perfomance ya tim unazobet ip ni bora. Kuliko nyingine 2. Ipi ina historia ya kuifunga nyenzie maana sometimes hist huwa inajirudia 3. Ipi ipo home/away baadh ya timu zikiwa hom e ground kufungwa ni vigum...
  13. intelligent mind

    Sayari inakuja kutoka mbali; Nibiru, itaigonga dunia baadaye mwaka huu 2016

    Romours tu maana hata 2012 walisema ndio Mwisho wa dunia but haikuwa hivyo
  14. intelligent mind

    Nguvu za kiume kwa mazoezi tu

    Atakae hitaj maelekezo kwa njia ya video nitamsaidia na haya maelekezo yanatolewa na waarabu but kwa lugha ya kiingereza
  15. intelligent mind

    Nguvu za kiume kwa mazoezi tu

    Mazoez haya yalianza uarabuni muheshimiwa na wakiwa. Na lengo la kuongeza urefu wa maumbile pamoja na nguvu za kiume
  16. intelligent mind

    Nguvu za kiume kwa mazoezi tu

    Hayo mazoez yanafaida mbil moja kuongeza nguvu za kiume na pil kuongeza size ya maumbile
  17. intelligent mind

    Ni kwel madereva mnakutanaga na vitu vya ajabu barabarani?

    habar zenu wana JF leo nimekuja na hili suala la ajari barabaran hususan kwa mabas makubwa yaendayo mikoan hiv ni kweli maderev huwa mnaona vitu vya ajabu maarufu kama vibwanga mkiwa barabaran maana nasikia mara muone mtu anakatisha ukimkuepa tu lazma uende chali afu huyo mtu hutamuona tena na...
  18. intelligent mind

    Naomba kujua ni kweli mwalimu wa degree mwenye carring over anaweza ajiliwa?

    kupata carring over sio kuwa ni kilaza ila elimu ya chuo waweza ukawa hauelewan na lecture akaamua kukukomoa
  19. intelligent mind

    Naomba kujua ni kweli mwalimu wa degree mwenye carring over anaweza ajiliwa?

    habari wana JF i hope ni wazima wa afya ninaswal ninataka kujua b'se kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua nimeona nikilileta hapa naweza pata majibu hiv mwalimu aliyemaliza degree lakin hakugadurate kwasababu ya kuwa na carring over ila fomu za ajira alishajaza je anaweza kuajiliwa maana najua...
Back
Top Bottom