Ni kwel madereva mnakutanaga na vitu vya ajabu barabarani?

Nov 20, 2015
29
23
habar zenu wana JF leo nimekuja na hili suala la ajari barabaran hususan kwa mabas makubwa yaendayo mikoan hiv ni kweli maderev huwa mnaona vitu vya ajabu maarufu kama vibwanga mkiwa barabaran maana nasikia mara muone mtu anakatisha ukimkuepa tu lazma uende chali afu huyo mtu hutamuona tena na ni kwann ajar huwa znatokea xana mwishon mwa mwaka au ni haraka tu za madereva na kutokuwa makin kwao?
 
Back
Top Bottom