Search results

  1. ktroshaban

    ๐—ช๐—”๐—–๐—›๐—œ๐— ๐—•๐—” ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ

    ๐—›๐—ฉ๐—œ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐˜„a๐—น๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐—ต๐—ผ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฒ๐˜๐˜† ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ช๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—ต๐˜‚๐—ผ ๐˜๐—ผ๐—น๐—ผ๐—น๐—ถ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ง๐˜€๐—ต ๐Ÿฑ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐—›๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐˜๐˜‚ .....๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐—›๐—ฉ๐—œ ๐—ต๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ??? ๐—”๐˜‚ ๐—บ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐— ๐—”๐—”๐—”๐—ก๐—” ๐—บ๐—ถ...
  2. ktroshaban

    Baba yangu anamuita mke wangu โ€œweweโ€; inaleta mtafaruku

    Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake. Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"? Naombeni mawazo yenu...
  3. ktroshaban

    Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

    Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari chaguo langu, nilimpenda kupitiliza. Hivi ninavyowataarifu kaenda kuishi na mwanaume mwingine tena...
  4. ktroshaban

    Tatizo la kushindwa kumpa mimba mwanamke

    Nipeni mawazo na msaada wenu, Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba. Tatizo ni nini wanajamii
  5. ktroshaban

    Umri mzuri wa kuoa

    Umri wa kuoa ni miaka mingapโ€ฆ.... Maana mi hapa nyumban kila siku nakumbushwa Alaf sijui kutongoza yule ninayemtaka namwacha apite coz nahisi nikimwita kumtongozaโ€ฆโ€ฆ atanishushua na kunikataa NINA MIAKA 31 MSAAADA PLZ Hyo picha Nikama hao ndo nawataka kuoa
  6. ktroshaban

    Ninapata taizo la tumbo kuunguruma

    Jaman tumbo langu linaunguruma sana, Hasa nikiwa nimelala kama kupumzika. NI DALILI YA NINI? AU NI UGONJWA GANI jaman? Msaada plz.
Back
Top Bottom