Tatizo la kushindwa kumpa mimba mwanamke

ktroshaban

Member
Nov 6, 2015
42
92
Nipeni mawazo na msaada wenu,

Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba.

Tatizo ni nini wanajamii
 
We tafuta mke. Si kila ukikutana kimwili na Mwanamke, basi anapata mimba. Ingekuwa hivyo, basi Dunia hii ingekuwa imefurika wanadamu.
Hivyo, ondoa hofu kuwa HAUZAI!
 
Aliekudanganya kuwa mtoto anatafutwa kwa upande mmoja tu peke yake bila kumshirikisha mwanamke ni nani?....ni rahisi sana mwanamke kutafuta mtoto na kumpata ndani ya sekunde moja ila ni ngumu sana kwa mwanaume peke yake kumtafuta mtoto na kufanikiwa kumpata bila kumshirikisha mwanamke!
Sijakuelewa
 
Unatafuta mtoto au unatafuta ngoma...

Unatatizo la kuto kupata ngoma na sio mtoto..

Wanawake 8 duuu..
Nipeni mawazo na msaada wenu,

Nimetembea na wanawake zaidi ya 8 bila kinga, lengo ni kutafuta mtoto lakini cha ajabu hakuna hata mmoja niliyempa mimba.

Tatizo ni nini wanajamii
 
Back
Top Bottom