Ninapata taizo la tumbo kuunguruma

Ninapata taizo la tumbo kuunguruma

ktroshaban

Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
42
Reaction score
95
Jaman tumbo langu linaunguruma sana,

Hasa nikiwa nimelala kama kupumzika.

NI DALILI YA NINI?

AU NI UGONJWA GANI jaman?

Msaada plz.
 
Nenda hospitali ukapime na kupata matibabu
 
Acha kula chakula kilicholala na hakijapashwaa asubuh utakuwa sawa
 
Mi nataka tu kujua ule muungurumo tumboni unatokana na Nini?

Yaani Ni Nini kinasababisha ile sauti wakati tumbo halihusiki na mfumo was saut?

Wataalam nielewesheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom