Search results

  1. K

    CV ya watoto wa Massaburi

    wadau mwenye cv ya watoto wa massaburi,deograius massaburi na john massaburi aimwage hapa maana hawa watoto eti wanafundisha kwenye chuo chake kiitwacho instistute of procurement and supply-chanika ngazi ya certificate na diploma .
  2. K

    Olesendeka upo?

    Jamaani mnafiki ole aliwahi kusema jk kamanda wa kupambana vita ya ufisadi sasa hosea amenukuliwa na wikileaks anasema jk ndo kikwazo.hii imekaaje kwa olesendeka binafsi namshauri asijiite tena mpambanaji wa ufisad ni mnafiki mkubwa
  3. K

    Ccm na unafiki wao

    Hivi wadau tume ya uchaguzi imewabeba ccm hilo lipo wazi inakuwaje tena huyu mbege kwenda mahakamani ina maana nao hawana imani na tume?nahakika ameshauriwa viongozi kabla ya kwenda kupinga matokeo me nadhani nae atangaze hadharani hatambui matokeo yaliyompa ushindi kikwete maana nae hana imani...
  4. K

    Massaburi na umeya

    Kuna tetesi huyu jamaa anasapoti kubwa toka kwa jk ya kuwa meya wa jiji la dar ila anapigwa vita na manji na kimbisa kuna kaukweli hapo?
  5. K

    Udwani ccm b (cuf) 604 ccm 604

    Uchaguzi wa madiwani kata moja huko rufiji hii imekaaje hakuna mshindi uchaguzi utatudiwa
  6. K

    Polisi na chadema

    Kuzuiwa kwa mikutano ya chadema majimboni kwasababu za kiusalama inamaana polisi wangezidiwa nguvu na waarifu au hawakutaka kulinda mikutano ya chadema.kama kuna ukweli rais atangaze hali ya hatari mwanza,mbeya,musoma,dar(segerea),rukwa,iringa,babati na mpanda
  7. K

    Jamaani nchi yetu

    Eti 6 kapewa uwaziri wa eac ili adili na mambo ya nje zaidi akigusa tu ya ndani wamwambie shughulikia ya eac sasa kwa kuwaumbua hao awalipe wazee wastaafu wa eac tuone watamweka wapi udiwani au ukuu wa mkoa
  8. K

    Twahitaji strategy

    Hivi chadema tuna chetu kweli udom maana ccm wanazidi kujiimarisha
  9. K

    Jk alichemka?

    Eti wadau kurejeshwa kwa Magufuri miundo mbinu ina maana jk mwanzo alichemka kumpeleka mifugo na makazi au alipanga kumuua kisiasa na sasa ameshindwa ameamua kumrejesha pale palipo mpa jina kisias
  10. K

    ubaguzi wa kimaeneo aliousema jk ulilenga maeneo gani?

    ubaguzi huu ni yale maeneo chadema iliyoshinda au yale ccm iliyoshinda au zanzibar ambapo chadema wamepata kura ndogo?WASWAHILI WANASEMA UKICHEZEA MPIRA UKUTANI UTAKURUDIA
Back
Top Bottom