Greeting's!
Kuna mambo hupatikana kwa bidii ya kujifunza na siyo Ufunuo. Kuna mambo hupatikana kwa Ufunuo na siyo kwa bidii ya kujifunza.
Bible is not physic's or chemistry. Isome Biblia huku ukimuomba Roho Mtakatifu kuwa kiongozi wako. Utafahamu & kufunuliwa Mengi.
Tusiiosome ili...
1. Kumcha Mungu.
Kufuata na kuwa na maadili mema katika Dini na dunia.
Kumcha Mungu usiifanye namba 6. Namba 1 ndiko kungefana sana.
Hapa, neno "Dini" siyo kwenda kanisani, msikitini au katika sinagogi pekee! Bali ni kuwa na mfumo wa maisha unaowawezesha watu kuwa na uelewa wa pamoja wa namna...
Greeting's brethren!
Tatizo ni kwamba "Hatuna akiba ya Matendo". Nilichokiona/ninachozidi kukiona ni kufanya mambo " ad hoc" haraka haraka bila "filtering", bila kuzingatia mantiki, adala nk kwa ajili ya leo au kesho, halafu tutaangalia.
Hili pia liliwahi kumtokea Rais mstaafu Baraka Obama...
We can't be serious!!
Mungu amlaze/ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi?.
BTW, Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili.
Nb: Mavuno ya kesho hupandwa leo.
Greeting's brethren.
Greeting's, Comrade.
You remind me someone "Fibonacci". He was a great, a hero & ever lived mathematician.
Per'se, Thank you for great Job. Universal Law's "Mifumo ya kidunia" ndiyo hutuongoza.
Dunia inaongozwa/tawaliwa na watu tusiowaona. I'll be back.
Kumradhi.
Ahsante kwa udundulizaji.
Unafahamu matumizi ya alama "Sawa sawa/The equals sign or equality sign (=) "?.
Yaani hapo umemaanisha mungu ni sawa sawa na Mungu. Humu tunakosea mno, nikiwa mmojapo. Si unajua msiba wa wengi?...
Usiandike mungu. Andika, aidha Mungu/MUNGU. Labda kama hum'maanishi...
Hollywood Mentalities.
Ni dhana ambayo imewateka wasomi, wachumi, wanasiasa, wasanii & wakesha hoi barani Afrika na kuwaganda vichwani kama yule mzee aliyempanda mgongoni Sindbad katika ngano za kale na kukataa kushuka.
Humu pia huo ugonjwa umo. Tarehe ya kuzaliwa ya kazi gani?. Logic au mfumo...
Salamu, Gidume.
Avatar/display pic yako ina uhusiano wowote na ujumbe wake?. N'natamani sana kufahamu chanzo cha sababu. Huo ujumbe "I Hate My Father" umenifikirisha & kuniumiza sana. Why?.
Kama hutojali, n'naomba tujifunze zaidi.
Kumradhi.
Demi, huko katika taasisi za Uandishi & utangazaji ni gulio la kizota.
Zaidi sana, kujuana na kununuana kunauzwa katika mnada wa wazi. N'nachukizwa sana na hili.
Ni hivi, mmiliki wa Chombo cha Habari anapaswa kuajiri Mkurugenzi mwenye ubobezi & ujuzi kuhusu karia hiyo. Tatizo linakuja pale...
Acheni hizo. Do you, and let others do them.
Kama ndiyo tamaduni zetu msilazimishe Nyangema aitwe 2Pac kama alivyoimba msanii Professor Jay wa mitulinga.
Wengine kwao majina ndiyo calendar, mtoto akizaliwa wakati wa njaa anaitwa Mwanjaa. Sasa unataka aitwe Grace halafu watu wapoteze timeline...
Truth comes with pain.
Siyo matamshi pekee. Kuanzia muonekano (kuvaa, kunyoa mpaka kutembea). In-short gestures zote ni muhimu kuzingatia.
Maneno sanifu ya kiswahili kama, kuhodhi, aghalabu, usuli, mawanda mapana, mantiki, zanambiu, ubazazi, kudurusu, kasri na orodha inaendelea... hayana...
Sistahili kuombwa msamaha!
Kwanini unanga'nga'na na unachokiita "Majina ya mizizi"?. Unaweza kunipa mifano ya majina hayo?.
Maisha yakiwa mafupi na kuishi mara moja ndio tujipe majina yaso-na mizizi, utamaduni wetu?.
Kufuata vyenye asali ndiyo nini?. Unaweza kuvitaja?.
Karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.