Search results

  1. Phack

    Nafasi za field Tpdc

    Mkuu hawa vijana wanahitaj msaada kama huwez kujibu you better stay cool
  2. Phack

    Nimechaguliwa kusoma Automobile engineering ila sikuiweka kwenye machaguo yangu

    Mm n muhitimu ie Automobile Engineer. N course Nzur sana, Kwenye suala la michongo commitment zako tuh ila am really enjoying my professional. Huwez kufikiria kuajiriwa
  3. Phack

    Natamani kupenda tena

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  4. Phack

    Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Ni balaa kubwa sana kuwatoa wanafunzi Form 6 na kuwapeleka Jkt after that unamnyima mkopo kusoma chuo Kisa budget ndogo na Pia wale wanaotoka Jkt bila kupata ajira nahic n tatizo kubwa San maana mtu anaweza kupata kushawishiwa na kitu kidogo San na kujiunga na makundi yasiyosahihi. N vyema Gvt...
  5. Phack

    Wapi naweza kupata wauzaji wa mayai ya kisasa kwa bei ya jumla.

    Mkuu kama hujapata Njoo Pm
  6. Phack

    Mayai ya Kisasa Yanapatikana

    Habar Wakuu Mayai ya kuku wa Kisasa Yanapatikana kwa bei 7000/= site ( Site yetu ipo KITUNDA) ni mpya na mzigo tunazalisha Wenyewe but kwa wale wa maeneo ya Mbez beach maeneo ya karib Yanapatikana Bonden 7500/=. Hizi bei zetu n fixed 7babu Chakula cha kuku kimepanda sana that's bei nazo zikapanda.
  7. Phack

    Kitanda na godoro kinauzwa, Msewe Golani, Dar

    Za Kiarabu February tunaanza after that kichina [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  8. Phack

    Toyota starlet new model no DDR inauzwa

    Namsaidia jamaa kutuma picha ya Starlet yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  9. Phack

    Electrical technician

    Kama hujui ilipo Npm
  10. Phack

    INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

    Mkuu no yako haipatikan Hiyo sofa kama bado unayo Njoo Pm nikupe details vzr uchukue hellah
  11. Phack

    Fundi wa kujenga nyumba mzuri kwa bei nafuu mwanza anahitajika

    Kama bado hujapata nipm nikupatie fundi mzur Mkuu
  12. Phack

    Natafuta hostel maeneo ya Ubungo, Mwenge, Survey au Sinza

    Nenda landmark hotel imekua Hostel
  13. Phack

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Me nahitaji tankbovu Au bonden single room lkn isiwe mbali na barabara, kama ipo Njoo Pm
  14. Phack

    TCL Flat Tv Inauzwa

    280k kesho Asbh tufanye biashara
  15. Phack

    Natafuta kazi ya Nursing,,(Nurse Assistant)

    Haaaa Haaaa Haaaa Mkuu Wazee wa Doria wanasema deal done[emoji23][emoji23][emoji23]
  16. Phack

    Hii kazi ni utapeli au?

    Haaaa Haaaa Haaaa Kumbe n wengi me mwenyewe ndio Namaliza kusoma email yao hao wajamaa Eti nitumie 20K as Registeration fee, Duh shame to them Hmn Boya wa ivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Email Yao nimeifuta. Me niliomba as Electrician nafac zilikuwa 5 & it's only for dar lkn leo...
Back
Top Bottom