Natamani kupenda tena

Una mtoto/watoto?

Kama wapo utasota, vijana wengi siku hizi hawataki kuoa wadada wenye watoto.

Wewe ni "eye-catching"?

Kama ndivyo utasubiri pia, vijana wanasita kuchukua wadada wenye mvuto kupitiliza. Kila ukipita wanaangalia mzigo uliobeba. Pia dhana ya kuwa warembo wengi wapo so cheap, wanaringia uzuri wao inawafanya vidume kusita kuoa.

Angalia wasikufanye chombo cha starehe.
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Hamia mkoani
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Mi sipendi mwanake anaetaka utawala juu yangu, kama upo tayari karibu tuseme zana,but upendo ninao tena mkubwa sana kw atakae ridhia sharti langu
 
Back
Top Bottom