Electrical technician

Massawe909

JF-Expert Member
Jan 13, 2017
310
462
Wanabodi wasalaam
Mimi ni fundi umeme mwenywe uzoefu wa kazi kwa muda wa miaka 8
nimefanya kazi sehem mbali mbali so nina experience ya kutosha kabisa

Natafuta kazi ambayo nitakuwa naingia shft ya jioni na kutoka usiku
Iwe ni kwenye mahotel au viwandani ama popote pale
Pia nipo tayari kufanya hata full time
Nipo dar es salaam

Naahidi kutoa nusu ya mshahara wangu wa kwanza kama asante kwa mtu Atakae kuwa tayari kunisaidia

Kwa mawasiliano
+255759733603
Nicholauss29@gmail.com
Nipo dar es salaam
Kuna kampuni inaitwa BATI service,IPO kawe beach,fika pale,ujaribu,
 
Experience 2 years bado unahitaji kuajiriwa? Daah hii hatari, kuwa na vision ya mbele mkuu, hizi kazi jaribu kutafuta mtaji mkuu ili na wengine wapate
 
Kila mtu kwenye maisha ana vision zake na mipango yake usitake niishi kama unavyo waza wewe..
Huwaga nashangaa watu mnavyo lazimisha watu waishi mnavyotaka
We unajuaje kama sina miradi yangu mingine inayoniingizia kipato?
Unajua ni kwanini nataka late shift?
Muwe mnajiongeza
 
Wanabodi wasalaam
Mimi ni fundi umeme mwenywe uzoefu wa kazi kwa muda wa miaka 8
nimefanya kazi sehem mbali mbali so nina experience ya kutosha kabisa

Natafuta kazi ambayo nitakuwa naingia shft ya jioni na kutoka usiku
Iwe ni kwenye mahotel au viwandani ama popote pale
Pia nipo tayari kufanya hata full time
Nipo dar es salaam

Naahidi kutoa nusu ya mshahara wangu wa kwanza kama asante kwa mtu Atakae kuwa tayari kunisaidia
Kwa mawasiliano
+255759733603
Nicholauss29@gmail.com
Nipo dar es salaam
Mm niko apa kiluvya nahitaji ufanye wiring, nyumba ya vyumba 3 na sebule.
Bei gani unafanya?
 
Asante mkuu
Siwezi kukupa bei moja kwa moja nivyema kama nikifika site na kuona mazingira yakazi yalivyo
Na kupiga hesabu itahitaji material kiasi gani...
Baada ya hapo ndio tunaweza kupatana bei ya kazi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom