Search results

  1. Sossy Mwasi

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu lugha ya uandishi wa abarua inatumika ipi, Kingereza ama Kiswahili?
  2. Sossy Mwasi

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Project mpya ya kujenga uwanja mkubwa zaidi Dodoma. Aise siyo mchezo.
  3. Sossy Mwasi

    Hostel SAUT Mwanza

    hostel nyingi tu ni ww na pesa yako...ncheki pm
  4. Sossy Mwasi

    Kwa mtaji huu wa mil 1.5, je unaweza kunisaidia?

    Ni kweli mkuu lakn Mzee kwa jinsi nilivomuona anaonekana ni mtu mzuri tu ambae anaweza kunipa ushirikiano mzuri.Amekwisha kuniambia karbia kila ktu kuhusu biasharaka yake hyo anavyo iendesha na nikajarbu kulinganisha na ya baadhi ya watu wanaofanya biashara hyo..Nataka kufanya partnership...
  5. Sossy Mwasi

    Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    fanyeni kudownload app inaitwa 4shared ipo play store...ina novel nyingi sana mnazozitaka na kuzitafuta...PDFs
  6. Sossy Mwasi

    Kero: HESLB kuweni makini katika loan transfers

    Twendeni kwenye vyombo vya habari vitusaidie kufikisha kilio chetu kwa jamii nzima.Tukilalamika tu humu haisaidii kitu.Mimi binafsi nimeshateseka sana na bado naendelea kuteseka tu.
  7. Sossy Mwasi

    Usijaribu kuhama chuo, najuta!

    kusign bado...majina yalipelekwa bodi kwa uthibitisho yakarudi baada ya kuthibitishwa.Had sasa tunasubiri bila mafanikio.
  8. Sossy Mwasi

    Bodi ya mikopo tumechoka kusubiri mikopo yetu mlioipeleka vyuo vingine.

    dah wangu Mimi pia ni muhanga Aise...mkopo wangu hadi sasa haujarudi na loan officer wa huku nlipo ameshapeleka majina na wakayathibitisha
  9. Sossy Mwasi

    Usijaribu kuhama chuo, najuta!

    Hadi sasa buum hatujapata.Maisha yanakua magumu
  10. Sossy Mwasi

    Ndoto za mapenzi zinanitesa

    wala sivyo mkuu...despite of having sex Mara kwa Mara bdo nazipata
  11. Sossy Mwasi

    Ndoto za mapenzi zinanitesa

    nilishafanya hivyo pia kwa kudhani ni hlo tatizo but halikua hilo...
  12. Sossy Mwasi

    Ndoto za mapenzi zinanitesa

    kuweni na utu please if u can't help don't bother,jus quit...
  13. Sossy Mwasi

    Ndoto za mapenzi zinanitesa

    Napata ndoto za mapenzi kwa wiki mara mbili au tatu karbia mwezi mzima, yaani mara kwa mara. Kinachonishangaza ni kuwa despite of having sex mara kwa mara bado napatwa na ndoto hizo. Sielewi nimepatwa na nini na limekua tatizo la muda sana. Nisaidieni kwa wenye uelewa..
  14. Sossy Mwasi

    Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

    dah! kijana hiv unaota au? hay kwa upande wa engineerings & health programmes kamwe ww advance usijilinganishe kabsa na yule wa diploma hata siku moja.Dip yupo competent zaid yako,practically. ukitaka kujua pia advance siyo ktu disco chuo kikuu afu na mwenzio wa diploma adisco then...
  15. Sossy Mwasi

    Kwa mwenye uelewa changia hapa

    Utamshari vipi mtu Fulani mwenye mapenzi na course mbili kati ya hizi achague moja wapo ambayo itakuja kumsaidia kwa baadae.Civil & Electrical Engineering.
  16. Sossy Mwasi

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Ngoja Nipumzishe Kwanza Akil..Wifi Yako Akinivuruga Tyu Naenda Kubwia Tena Niwachome Vzur.
  17. Sossy Mwasi

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Mkuu Nashukuru Sana.Mwangalizie Jamaa Yangu S2425/0057/2012
  18. Sossy Mwasi

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Mkuu Mwangalizie Na Huyu S2425/0057/2012
Back
Top Bottom