Search results

  1. E

    Sheria ya ndoa za jinsia moja Tanzania

    Nimefuatilia kwa karibu repoti ya Haki za Binadamu iliyotolewa wiki liyopita na mienendo ya wanaharakati dani na nje ya nchi hasa mkutano wa mashoga na wabunge wiki hii. Tujiandae kuletwa sheria ya jinsia moja na kupitishwa ndani ya miaka 2 ijayo kama ile ya Ugaidi.Hilo ni agizo toka kwa...
  2. E

    Discusion Law OUT

    Naomba wanajf tunaosoma Law OUT tushirikiane katika discussion. walioready pse. ntameet aome costs if any. m in Dar kinondoni centre.Pia kama kuna mwalimu wa kutulead tuwasiliane kwa pm for negotiation.
  3. E

    Laana ya Tanzania

    siasa na ngono ndivyo vinavyodrive mwelekeo wa nchi. Hoja na interests zote zimekita hapo.uchumi na mambo mengine ya msingi hayana nafasi hata humu jf. Kwa hali hii hatutaendelea hata miaka 500 ipite.
  4. E

    Bastola ya Aden Rage na CCM

    Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama...
  5. E

    Chadema imekomboa wabunge wa ccm

    Moja kati ya mafanikio makubwa ya CDM katika bunge la mwaka huu ni CDM kuwasaidia Wabunge wa CCM kuwa huru na kutobanwa na kamati kuu ya chama (CCM) kama zamani. Mbali na kuanza kinafiki baadae wamegundua serikali haibebeki na Wameweza kuipinga serikali bila woga na pia kuwakilisha kiukweli...
  6. E

    Tanzania inatuhitaji wote sasa

    Nimefuatilia matukio ya wiki na kuyatafakari kwa undani kabisa. Sasa nakuja na haya. Jamani watanzania tunalazimika kuikomboa hii nchi sasa hakuna mwingine atakaye kuja ikomboa na ile kauli ya mmoja wa wabunge kuwa kizazi kijachi kitayachapa viboko makaburi yetu inaniingia. Haya yamenisukuma...
  7. E

    Loliondo itaangamiza watanzania

    Wana jf, nilikua nyumbani kwa siku 5 zilizopita kwa pasaka. Nilijumuika na ndugu na rafiki zangu kuanzia Jumamosi hadi jumatatu. Haya ndio nilioyaona.Jamaa zangu wa karibu ni ma dealers wa madini ya Tanzanite hivyo mkwanja sio haba. siku za nyuma walikua wanajihisi hisi na kaugonjwa haka kakali...
  8. E

    Mapigano wakristu na waislamu - yametimia

    Mapigano makali yanaendelea hivi sasa huko Mto wa Mbu Arusha. watu wameumia sana na nyumba kuharibiwa. Ndugu yangu alieyeko mji huo sasa anakimbilia Arusha. Source Radio one na private contact with ma bro. Inachotaka serikali kinaanza tujiandae haya ndio matunda ya sera chafu.
  9. E

    Rais kuwashukuru wananchi kwa kumchagua tena

    Jamani tumezoea baada ya Uchaguzi Mh. Rais hupita mikoani kuwashukuru wananchi kwa kumpa ridhaa tena ya kuongoza. Safari hii vipi mbona hapiti au kuna nini?
  10. E

    SITA, Chenge, NJE UGOMEA USPIKA

    Kuna tetesi kuwa Sita ametupwa nje kinyang'anyiro cha uspika. wenye nafasi ni makinda, na Anna Abdalah. KUMEKUCHA. Wote kambi ya LOWASA na RA.
  11. E

    Kilio elimu ya juu

    Wanajamii nimekutana asubuhi hii pale ubungo Bus terminal na kijana aliye chaguliwa kuanza masomo pale IFM Kozi ya Banking and Finance. Amenyimwa mkopo na loan board hata wa asilimia 0. Tuition fee peke yake ni Tshs.1,920,000 (Millioni moja na laki tisa na elfu ishirini).Hivi sasa kadiri ya...
Back
Top Bottom