Habari za jioni Wanajamvi,
Kuna rafiki yangu kapotelewa na vifaa vyake siku ya Jumanne saa tatu usiku kule tegeta.
Vifaa hivyo ni pamoja na:
(1) Laptop aina ya Lenevo Think Pad pamoja na chaja yake
(2) Hard disk moja ina cover jekundu 1 terabyte
(3) Memory sticks/flash disk 2. Ya rangi ya...
Habari zenu wanajamvi
Kuna rafiki yangu mmoja kapotelewa na vifaa vyake siku ya jumanne mida ya saa tatu usiku kule Tegeta:
Vifaa hivyo ni pamoja na:
(I) Laptop aina ya Lenovo Think Pad pamoja na charger yake
(2) Hard disk ya 1terabyte nyekundu
(3) Memory sticks 2, moja ya njano, nyingine...
Nothing creates nothing Mr Free ideas!
The Universe did not come out of some sort of accident. The Universe is well designed, and you too as a creature with astonishing system within you!
Free Ideas as you call yourself!
Do you thing you created yourself?
And the food you are eating?
And the brain that u are using to now free think?
The water your are using and abusing?
The organized universe and the things we see did not create themselves.
Even simple things like your beautiful...
The Late Kamuzu Banda, alitaka kuchukua ziwa lote na sehemu za Mbinga na Kyela, lakini hakuthubutu mbele ya Mwl. Julias K. Nyerere.
Huyu Prof anafuata sera za Bi Joy? Anasema no negotiation? Najua viongozi wetu na jeshi letu wapo makini kulinda mipaka ya Tz.
Wasimguse hata mvuvi mmoja wa Tz...
Simple minds discuss people! Hapa kinachotakiwa ni kujadili hoja iliyoletwa na Jenerali Ulimwengu The Great, na siyo eti katokea wapi. Tupunguze unafiki wabongo ili tuendelee
Habari wana JF
Tv yangu Samsung Plasma Model PS -50Q96HD imepata hitilafu
Sauti inatoka lakini screen ni blank kabisa hakuna picha.
Ni ya mwaka 2008 so haina warranty.
Nadhani ni tatizo la power supply.
Nahitaji msaada wa fundi mwenye weledi please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.