AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,893
Rais wa Malawi jana akiongea na waandishi wa habari amesema hana mpango kuingia vita na Tanzania isipokuwa tu kama atavamiwa naye atajitetea.
Pamoja na kusema hayo amesisitiza msimamo wake uleule wa kabla hajachaguliwa kuwa hata kama hana mpango kupigana na Tanzania lakini ziwa lote ni la Malawi hadi kwenye ufukwe wa upande wa Tanzania.
Tanzania haina chake kabisa.
Nilikuwa natafakari, ni kwanini ametoa maneno hayo, na kwamba ati hatapigana vita na Tanzania?
Kwani nani alisema Malawi wana uwezo kupigana vita na Tanzania? na yeye kama kiongozi mkubwa wa serikali ameshatoa tamko, binafsi nategemea viongozi wa Tanzania pia watoe tamko.
Membe toa tamko mapema kushutumu hatua hiyo na kulaani anachokifanya Rais huyu kwenye majukwaa ya siasa wakati suala lipo kwenye usuluhishi. kwani wanafikiri sisi Watanzania hatuna midomo na vyombo vya habari vya kuongelea?
Mungu ibariki Tanzania.
BOFYA HAPA chini
http://www.nyasatimes.com/2014/08/1...issue-non-negotiable/comment-page-2/#comments
http://www.nyasatimes.com/2014/08/0...e-row-to-be-resolved/comment-page-2/#comments
http://www.afriem.org/2014/08/hands-lake-malawi-mutharika-tells-tanzania/
http://malawi24.com/mutharika-coy-on-lake-malawi-row/