Kupotolewa na vifaa

Meander

Member
Nov 2, 2010
62
18
Habari za jioni Wanajamvi,

Kuna rafiki yangu kapotelewa na vifaa vyake siku ya Jumanne saa tatu usiku kule tegeta.

Vifaa hivyo ni pamoja na:

(1) Laptop aina ya Lenevo Think Pad pamoja na chaja yake
(2) Hard disk moja ina cover jekundu 1 terabyte
(3) Memory sticks/flash disk 2. Ya rangi ya njano na nyingine nyeusi
(4) Simu 2 ndogo za tochi zenye line za tigopesa na airtel money
(5) Simu moja aina ya Samsung GT 6712 ina memory card
(6) USB cables 2, na remote ndogo 1
(7) Nyaraka mbalimbali binafsi na za kiofisi

Zawadi nono itatolewa: Wasiliana na 0652029740.
 
Back
Top Bottom