M Meander Member Joined Nov 2, 2010 Posts 63 Reaction score 21 May 28, 2014 #1 Habari wana JF Tv yangu Samsung Plasma Model PS -50Q96HD imepata hitilafu Sauti inatoka lakini screen ni blank kabisa hakuna picha. Ni ya mwaka 2008 so haina warranty. Nadhani ni tatizo la power supply. Nahitaji msaada wa fundi mwenye weledi please.
Habari wana JF Tv yangu Samsung Plasma Model PS -50Q96HD imepata hitilafu Sauti inatoka lakini screen ni blank kabisa hakuna picha. Ni ya mwaka 2008 so haina warranty. Nadhani ni tatizo la power supply. Nahitaji msaada wa fundi mwenye weledi please.
crecknerz Member Joined May 7, 2014 Posts 88 Reaction score 12 May 28, 2014 #2 Meander said: Habari wana JF Tv yangu Samsung Plasma Model PS -50Q96HD imepata hitilafu Sauti inatoka lakini screen ni blank kabisa hakuna picha. Ni ya mwaka 2008 so haina warranty. Nadhani ni tatizo la power supply. Nahitaji msaada wa fundi mwenye weledi please. Click to expand... Mpaka ifike znz mkuu Ipo spare kwa jamaa yng
Meander said: Habari wana JF Tv yangu Samsung Plasma Model PS -50Q96HD imepata hitilafu Sauti inatoka lakini screen ni blank kabisa hakuna picha. Ni ya mwaka 2008 so haina warranty. Nadhani ni tatizo la power supply. Nahitaji msaada wa fundi mwenye weledi please. Click to expand... Mpaka ifike znz mkuu Ipo spare kwa jamaa yng
M Meander Member Joined Nov 2, 2010 Posts 63 Reaction score 21 May 28, 2014 Thread starter #3 Unazo card zake?