Muuaji Halisi ambaye alitumia Shotgun iliyothibitika kumuua Malcom X ni huyu aliyezungushiwa nyekundu, anaitwa William X Bradley au al maarufu kama Al Mustafa Shabazi, Jasusi na mwanachama mtiifu wa Nation of Islam Msikiti namba 25 wa Newark, pia inasadikiwa kuwa alikua akitumiwa na FBI.
Hii ni ya kijapani mkuu, imenishangaza sana kwa kweli. Siku zote huwa natumia Total nikaona hii Takumi kwa kuwa imetengenezwa Japan basi itakuwa safi maana Japan ndo wababe wa magari [emoji23]
Mkuu kuna scenario imenitokea juzi nimeshindwa kuielewa. Kuna Nissan Serena 2011 engine ya C26 ina kama week tatu. Nilivyoifuata bandarini tulifanya service na wakaweka oil ya Takumi kama inavyonekana kwenye picha
Juzi nilikiwa safarini kutoka Arusha kwenda Iringa, asubuhi nikacheck oil na...
Hiyo ya kijani ni bei mpaka destination port mf. Dar. Na ndo utakayolipa ili gari lifike bandarini. Likishafika ndiyo TRA wanakuja kuchukua chao na wao sasa.
Wasi wasi wa watu tu, gari ya pekee wala haina shida kupata spares siku hizi. Unauwezo wa kuagiza popote duniani zikafika ndani ya week.
Magari ya kufanana ndo huwa yanaibiwa spares sana.
Mimi huwa nikienda kufanya service huwa nakomaa na mafundi na kujua wanatoa nini na kwanini. Ni njia nzuri ya kujifunza pia na wao watakufanyia kazi yako vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.