Search results

  1. Bob_Dash

    Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

    Nimejaribu kuchunguza kwa makini sana safu wa watarajiwa wa kiti cha Urais mwaka 2015 kutoka CCM, kusema kweli sioni mtu anayefaa zaidi ya huyu Mama, Dr Migiro ,mtazamo wangu umelenga katika profile yake yeye kama msomi mzuri tu na pia amekuwa na experience na maswala mbalimbali yanayohusu siasa...
  2. Bob_Dash

    Huyu Muhishimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal anacho fanya ni sahihi?

    Another Very GOOD POINT! Naungana na wewe kabisa kwa mchango wako, hawa viongozi wanafuja sana pesa za serikali, wanaitwisha serikali mizigo mikubwa isiyo na ulazima.
  3. Bob_Dash

    Huyu Muhishimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal anacho fanya ni sahihi?

    Very GOOD POINT! huu ndio mtazamo wa mwananchi mwenye akili na busara, wengine wakisha kula na kuvimbiwa dona lao wanakuwa hata mawazo hawana.
  4. Bob_Dash

    Huyu Muhishimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal anacho fanya ni sahihi?

    Tumia akili, wewe kama mwananchi una haki ya kimsingi kufuatilia kodi yako inavyotumiwa na serikali, ngoja nikupe mfano, Waziri mkuu ni mara chache sana kumuona akiambatana na mkewe kila mara kwenye safari zake za kikazi, na hata kama watakuwa wameambatana pamoja hutowaona wako pamoja katika...
  5. Bob_Dash

    Huyu Muhishimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal anacho fanya ni sahihi?

    Wewe una undugu naye nini? kwangu mimi naona huo ni upuuzi tu, umetolea mfano Jacob Zuma, siyo kweli kila safari zake anaonekana kuambatana na hao wake zake bana, mimi sina tatizo kwamba ana wake wangapi, ila nataka kufahamu kunaulazima gani unapokuwa katika safari za kikazi kila mara kuongozana...
  6. Bob_Dash

    Huyu Muhishimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal anacho fanya ni sahihi?

    Lakini hata hivyo, kuna ulazima gani kila safari lazima aambane na mke wake? mbona hatuoni viongozi wengine wakifanya hivyo?
  7. Bob_Dash

    Huyu Muhishimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal anacho fanya ni sahihi?

    ​Nimefuatilia sana safari za huyu Muhishimiwa Makamu wa kwanza wa Rais Dr. Mohammed Gharib Bilal anapokuwa kwenye safari za kikazi hapa nchini ama nchi za nje kila wakati lazima aambatane na eitha mke ama wake zake wote, ninajua wazi lazima gharama zote zitakuwa zinagharimiwa na kodi za...
  8. Bob_Dash

    Madaraka ya Raisi wa nchi ni yapi?

    Naombenini mwongozo kuhusu madaraka aliyonayo Raisi, nina uliza hivi kwa sababu hivi karibuni imeripotiwa katika vyombo vya habari kumekuwa na matukio ya vurugu katika mikoa ya Mbeya na Iringa kati ya polisi na wananchi hali iliyosababisha hata watu kupoteza maisha na wenginine kwenda ma...
  9. Bob_Dash

    Miradi ya Maendeleo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

    1. Ujenzi wa Msikiti mkubwa na wakisasa 2. Ujenzi wa Chuo kikuu cha Kiislamu 3. Ujenzi wa Madrasa kubwa ya kisasa Ndugu wananchi Serikali yenu inafanya kila jitihada kuhakikisha inakamilisha hiyo miradi mikuu.
  10. Bob_Dash

    Picha za Wanataarabu wa 5 Stars waliokufa Morogoro!

    Baba Mwenyezi tunaomba uwafariji ndugu wafiwa waliopoteza wapendwa wao, inasikitisha mno. R.I.P
  11. Bob_Dash

    Imetokea loliondo

    Leo hii nimepata taarifa kuwa yule Professor wa ujanja ujanja, Sheikh Yahya Hussein ameonekana leo Loliondo kwa Babu kwenda kupata dozi,
  12. Bob_Dash

    waziri na Katibu Mkuu wa Wizara nani mwenye mamlaka na madaraka katika uamuzi na uten

    Kwa ufupi tu, waziri ana madaraka ya juu kuliko Katibu mkuu wa wizara, mambo yanaenda hivi, katibu mkuu ana riporti utendaji kazi kwa waziri na waziri anaripoti kwa Rais, Lakini katika majukumu ya kiutendaji yaliyokwisha amuliwa ama kupendekezwa na waziri katibu mkuu huwa ana madaraka ya kuamua...
  13. Bob_Dash

    Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

    Jamani naombeni orodha ya majina ya mawaziri na manaibu wa awamu iliyopita waliopigwa chini,
  14. Bob_Dash

    Kwanini kuwa na mawaziri toka Zanzibar wakati wao hawana hata mmoja toka bara?

    Nimeona orodha ya mawaziri wapya pamoja na manaibu, kilichonishangaza ni kuona majina mengi ya watu toka Zanzibar, sasa kwanini kutawaliwa na watu toka Z'bar wakati wao hawana hata waziri ama naibu waziri toka bara?
  15. Bob_Dash

    Pesa 2 Basili Mramba Yuko wapi Jamani?

    HANG ON A MINUTE!!!!! Unamaanisha Basiri Mramba alizaa na Mama Anna Mkapa?, Au nimeelewa vibaya?
  16. Bob_Dash

    Elections 2010 Makamba aanza zogo jipya!

    mbona una bania comment zangu? ama na wewe ndo wale wale MAKADA WA CCM?
  17. Bob_Dash

    Dvd za hayati munga tehenan wa gazeti la jitambue zinauzwa

    Mbona mnaongea kwa kifupi fupi tu, hebu wekeni mada wazi nasie wengine tuliopo mbali na home tuelewe
  18. Bob_Dash

    Picha: Ni kweli na shibuda hamtambui kikwete hii ilikua jana kwenye mnuso wa wabunge

    SO, WHAT'S THE PROBLEM THERE??????????????????????? Acheni majungu bana!
Back
Top Bottom