Search results

  1. K

    Usafiri wa mwendokasi kituo cha Kimara kero kwa wananchi

    Kwa wahusika hasa halmashauri ya jiji na TAMISEMI, wasafiri tunaotumia usafiri huu tunakerwa na tabia ya wafanyakazi wenu kukatisha tiketi na kuchukua pesa hali wakijuwa hakuna either magari au magari yapo ila madereva hakuna. Hali imekuwa ikijitokeza mara kwa mara. Leo asubuhi na mapema watu...
  2. K

    Watanzania tupende vya kwetu

    Imekuwa ni jambo LA kawaida kwa watanzania kutopenda kuvitukuza na kuvipenda vitu vyetu wenyewe ambavyo asili yake ni hapa hapa nchini kwetu. Imekuwa ni ya wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu kutokuthamini timu zetu zinazotuwakilisha kwenye mashindano ya kimataifa kwa kisingizio cha utani wa...
  3. K

    Apartment inapangishwa mbezi makabe.

    Rejea kichwa cha thread, ninatafuta mpangaji wa nyumba kwenye eneo tajwa. In nyumba mpya yenye sifa zufuatazo: 1. Ni apartment 2, kila moja ina, 2 bedrooms, kimoja ni master, jiko kubwa, sitting room, dining room, public toilet na verandah 2 mbele na nyuma. 2. Nyumba hiko ndani ya uzio, Luna...
  4. K

    Taadhari kwa wapenzi na mashabiki wa Simba Sports Club.

    Kumekuwa na majigambo mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa klabu tajwa hapo juu, kwamba kesho wanaua. Napenda kuwashauri, hayo matokeo waliyokuwa nayo waanze kuyafuta vichwani mwao tangia sasa, maana matokeo ya mchezo wa kesho yanaweza kuwa kinyume na...
  5. K

    Msaada: Jinsi gani ya kupata joining instructions Tabora boys?

    Tafadhari ndugu zangu, rejea Maelezo hapo juu, Naomba Msaada nitapataje maelekezo muhimu y'a kujiunga Kidato cha kwanza 2018 Tabora boys. Natanguliza shukrani n'a J. Poli njema.
  6. K

    5L Engine inahitajika.

    Wandugu, rejea kichwa cha uzi hapo juu, ninahitaji Engine 5L, ya hilux double cabin, mwenye nayo tafadhari ajitokeze tuyajenge.
  7. K

    Engine ya 5L

    Wanabodi, inahitajika engine tajwa hapo juu ya Toyota Hilux double cabin. Tafadhari mwenye nayo namkaribisha tufanye biashara. Offer yangu ni 2M.
Back
Top Bottom