Msaada: Jinsi gani ya kupata joining instructions Tabora boys?

kyata

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
2,532
2,492
Tafadhari ndugu zangu, rejea Maelezo hapo juu, Naomba Msaada nitapataje maelekezo muhimu y'a kujiunga Kidato cha kwanza 2018 Tabora boys. Natanguliza shukrani n'a J. Poli njema.
 
Mkuu ukifika kule msalimie Mwalimu Maige
 
s

Sawa mkuu, Msaada wako tafadhari kuhusu ombi langue maana Nipo Dsm n'a sijui nitapataje maelekezo. Ulisoma Tabora boys ? Hebu ni Pm hiyo ne y'a Mwalimu Mange labda ataweza nisaidia shida yangu
 
Kama una Ndugu Jamaa au rafiki anayeishi Tabora mtume akakuchulie na akutumie kwa njia ya ems au nenda mwenyewe kachukue
 
Aaah, Tabora Boys...
Nilipitaga pale, Form One mie na wenzangu wawili tukaiba Jaba la maandazi Canteen tukalificha mlima wa Tabora Girls.
Week nzima tunakula maandazi tu.
 
Tafadhari ndugu zangu, rejea Maelezo hapo juu, Naomba Msaada nitapataje maelekezo muhimu y'a kujiunga Kidato cha kwanza 2018 Tabora boys. Natanguliza shukrani n'a J. Poli njema.

Kama mpaka sasa hujapata ufumbuzi wa hilo nitafute kesho nitakusaidia. Mimi nilisoma A level palé karibia miaka ishirini imepita sasa, Í still have good connections with the school. Tabora School kichwa cha Tanzania
 
mkuu bado sijapata ufumbuzi, Hebu Nipe connection/contact détails Tabora boys
 
Back
Top Bottom