Rejea kichwa cha thread, ninatafuta mpangaji wa nyumba kwenye eneo tajwa. In nyumba mpya yenye sifa zufuatazo:
1. Ni apartment 2, kila moja ina, 2 bedrooms, kimoja ni master, jiko kubwa, sitting room, dining room, public toilet na verandah 2 mbele na nyuma.
2. Nyumba hiko ndani ya uzio, Luna nafasi kubwa ya parking.
3. Ndani ya uzio kuna kisima cha maji.
4. Kodi kwa mwezi ni shilingi za kitanzania 250,000/= kwa mwezi, kwa kila unit.
5. Kwa atakayehitaji tafadhari tuwasiliane kwa simu no. 0755380525.
Nb. Nyumba ni mpya kabisa, ukibahatika kuipanga utakuwa was kwanza. Ni mbezi makabe maeneo ya Mwanza garage. Picha zinafuata. Aksanteni.