Search results

  1. Digitalman1tz

    SoC01 Jinsi jamii inavyopata athari kwa kupuuza tatizo la Saikolojia

    Wanasaikologia mpo wapi? Na kama mpo mnafanya nini? Jamii inahitaji msaada kutoka kwenu. Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu na hapa nchini huwa tunapokea wahitimu wapya kila mwaka wa masuala ya saikolojia lakini mimi sijawahi waona. Hivi kwanini tusiwatumie...
  2. Digitalman1tz

    Wanasaikolojia mbona kazi yenu haionekani? Matukio ya watu kujiua yanashamiri

    Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu nahii nchi huwa kila mwaka inapokea wahitimu wapya wa maswala ya saikologia lakini mimi sijawahi waona. Kila mwaka huwa tunapata idadi kubwa ya wanafunzi wanajinyonga wanakunywa sumu sababu ya kuogopa mitihani ya taifa ya...
  3. Digitalman1tz

    Jinsi Mahusiano yalivyobadilisha maisha yangu

    Leo nimeamua kuleta story yangu ya kweli Naitwa Nelkonphy ni mzaliwa wa Mbeya greencity Na wazazi wangu ni wenyeji wa Tukuyu mbeya ila waliamia Mbeya mjini hivyo Na mm niliaama shule toka Tukuyu adi kuanza maisha mapya katika jiji la mbeya Na kubahatika kufauri elimu ya msingi Na kujiunga Na...
  4. Digitalman1tz

    Msaada wa ajira yoyote jijini Mbeya

    Habari Wakuu, Msaada wa ajira yoyote. Mimi ni kijana wa mwenye miaka 29 nimehitimu elimu ya kidato cha sita na kusomea ngazi ya diploma katika fani ya Utabibu.
Back
Top Bottom