Search results

  1. M

    Kidela: Hadithi Fupi

    STORI ZA KUPIGA RAMLI! Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati Mawasiliano: 0713538427 ANGALIZO: Atakayekwazika, naomba ani-inbox. I will have the post deleted immediately! Kingine si kama stori ndivyo hali halisi ilivyokuwa. La hasha. Ni katika harakati za kusogeza siku zetu za kuishi tu. Tuendelee...
  2. M

    Zarimobetto: Hadithi Fupi

    Kimekuja na meli. Tuheshimiane! Asubuhi na mapema, hata hali-mseto haijatokea, simu mkononi kumpigia asiyempigia tangu kuzaliwa. Namba kaipata wapi, ngumu kusema kwa mtu mwenye nia na jambo fulani. Tuuuuuuuuuup! Mwito wa kwanza, hola! Wa pili, holaaaa! Hatimaye ikapokelewa! "Hello, Zari!"...
  3. M

    Riwaya: Wahuni Wote Peponi

    Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati Imetolewa: Mei, 2020 Mawasiliano: 0713538427 MOJA MIADI! Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...
  4. M

    Bongo Flava

    Bongo flava ni jina badala la muziki wa Hip hop ya Tanzania. Mtindo huu ulianzishwa kwenye miaka ya 1990, hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa hip hop kutoka Marekani, ikiwa na ongezeko la athira ya muziki wa reggae, R&B,afrobeat, dancehall, na mitindo ya asili ya Kitanzania kama vile taarab na...
Back
Top Bottom