Search results

  1. Elijah Maliondo

    Naombeni ushauri

    ...nimetokea kuvutiwa na kasichana kazuri, na yeye anaonyesha kuwa na interest na mimi, lakini ni mtoto wa boss.....wanaseama mtoto wa bosi ni bosi....ukizingatia mambo ya mahusiano yana ups and downs...naogopa asije akatumia u-boss wa mzazi wake kunionyesha undava....nimuache au nimwambie la...
  2. Elijah Maliondo

    Al-Jazeera swahili channel is very dangerous for East African and their unity..

    mi sidhani kama hiyo channel italeta tatizo lolote africa mashariki....ni vinchi vidogo sana kusambaratishwa na uvumi tu....kwanza majority of east africans wana-watch local channels....wasomi na wanaharakati ndio wanaangalia aljazeera....mbili, east africa itasambaratishwa na udini na...
  3. Elijah Maliondo

    Kilichoandikwa na TANZANIA DAIMA la jana: DK Slaa alishinda urais kwa 64%

    hili gazeti nililiona, na nilitegemea litashtakiwa au kufungiwa. cha kushangaa watu wapo kimya.....nahisi wanaogopa kuinua hoja ya matokeo, maana ilishonekena kunamapungufu, kuzungumzia hili suala tena litaikosesha CCM umaarufu....
  4. Elijah Maliondo

    Milipuko ya mabomu stockholm sweden-kiswahili chahusishwa

    hawa waswahili wanohusishwa na ugaidi ndio wanaozikosesha imani balozi za nje kutoa viza kwa watanzania
  5. Elijah Maliondo

    Msaada wa kimawazo unahitajika....nimeshindwa kumuelewa huyu mrembo

    Fab....sio kwamba sijafanya uchunguzi....tena baadhi yao nimeshawaona katika ile tokatoka yetu, na utakuta anawaponda jinsi walivyo.....na sasa huyo mmoja ambaye ni mume wa mtu ndie anachat naye kila saa....mpaka majina nayajua....huyu rafiki yake ametulia, anamtu wake, tena anachotaka ni...
  6. Elijah Maliondo

    Msaada wa kimawazo unahitajika....nimeshindwa kumuelewa huyu mrembo

    ....Nimetokea kumhusudu...tunafanya naye mazoezi kila w/end.....pia tunajumuika katika mitoko mbalimbali....ni msichana mrembo, kaumbika, anakazi yake na msomi.... lakini nashindwa kumuingia sababu nimedokezwa na rafiki yake anayemfahamu kwamba hana msimamo wa kimapenzi, hajatulia....anawanaume...
  7. Elijah Maliondo

    Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

    nyumbani ni nyumbani......
  8. Elijah Maliondo

    Mapenzi na mbwa

    ...Kama ningepata nafasi.... ningeomba nipewe ruhusa ya kuongea na aliyefanya mapenzi na mbwa....japo kumuuliza tu ilijisikiaje wakati anfanya kitendo hicho na kitu gani kilichomfanya amfuate mbwa na sio binadamu mwenzie.....na inasemakana mbwa huyo hivi sasa ana ujauzito wa hii njemba...
  9. Elijah Maliondo

    national crisis

    ...it is a national crisis.....mr. tukutu.....the lenders now are becoming more strict by issuing highly condioned loans to tanzania istead of the usual grants and aids........where are we gonna get all that money to finance the deficit of tshs 0.9 per every 1 tshs the government collected...
  10. Elijah Maliondo

    Elections 2010 we take petty thieves to jail and appoint big ones to public offices

    ...jamani siamini masiko yangu....ati CHENGE....a.k.a VISENTI ameshinda BARIADI......hivi wananchi wapo wanaishi huko....au tumeingiliwa....
  11. Elijah Maliondo

    Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

    ...safi sana ....naomba unisaidie na kibaha mjini...maana nasikia kuna mabadiliko.....:smile-big:
  12. Elijah Maliondo

    national crisis

    ...our nation...Tanzania...has a total debt of 10 bil USD....for the quicker understanding of the burden...every living human in this nation owes the lenders tshs 332,000/=...of which Tshs 264,354/= is owed to foreigners (80%).......subsequently, with the goverment expenditure still...
Back
Top Bottom