Search results

  1. Mlyuha

    Natafuta mtaalam wa kutengeneza na Ku-"manage website"

    "Southern Consult and Agro-Products Company (T) Ltd (SCAP) ni kampuni ya kizalendo inayojishughulisha na biashara mbalimbali za ushauri wa kitaalam wa uendeshaji miradi ya maendeleo (project management), tathmini ya miradi, uchakataji mazao ya kilimo (agro processing), uimarishaji wa taasisi za...
  2. Mlyuha

    Kilimanjaro stars sahau kuifunga zanzibar heros

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mashindano ya mapinduzi yanayoendelea sasa kule Zanzibar. Nimegundua kuwa Ligi ya Zanzibar ni bora kuliko ya bara hasa kwenye maandalizi ya wachezaji wa timu ya Taifa. Timu zao zote zimeundwa na wachezaji wazalendo na pia wanaonyesha mchezo mzuri sana...
  3. Mlyuha

    EFD machine zinakwamisha maendeleo

    Nimeshangaa sana nilivoenda TRA kupata leseni ya biashara nikaambiwa lazima nilipie kwanza Mashine ya EFD ndiyo nipate leseni!! NAAMINI katika kulipa kodi lakini huu utaratibu siyo mzuri kwani wengi wanaoanzisha biashara mitaji ni midogo sana haifikii hata laki 5 sasa hiyo ya kulipia EFD mashine...
  4. Mlyuha

    Marais wastaafu wanalipwa 'pension' zao na CCM au Serikali?

    nina hakika kuwa kodi ya watanzania bila kujali wa itikadi ya chama gani inatumika kulipa mafao ya marais wastaafu wote! Kwanini sasa hawa wazee wanatumia majukwaa ya kampeni kuwatukana na kuwasema vibaya wanaowalipa mafao yao? Sina hakika kama wanatambua vyanzo vya mafao yao vinginevyo...
  5. Mlyuha

    Ikitokea Mawakala/au wakala wa chama hajaridhika inakuwaje

    Wapendwa wana JF, Ikitokea mmoja wa mawakala wa vyama/mgombea hajaridhika na mwenendo mzima wa uendeshaji shughuli za uchaguzi kituoni anatakiwa kuchukua hatua gani? Nilishawahi sikia fununu kuwa kuna wakala alishawahi tolewa nje ya chumba cha kuhesabia kura sababu ya makosa "aliyofanya'. Naomba...
  6. Mlyuha

    Tanesco hizi gharama zote za nini?

    Wana JF Huwa najifikiria mara nyingi kama TANESCO ni shirika la umma au la. Nimenunua umeme wa shilingi elfu kumi (TZS 10,000) mchanganuo wa malipo umekuja hivi: units 9.0 KWH, cost 2,676.73 SERVICE CHARGE 5,520 TAX 1803.23 TOTAL TZS 10,000 ukiangalia mchanganuo huo hapo inaonyesha gharama za...
  7. Mlyuha

    Mhudumu wa baa na glass (utafiti huru)

    Nilikuwa kwenye usafiri wa 'public' jamaa mmoja akauliza kwanini wahudumu wengi wa baa (maarufu baamedi) huwa hawatumii glass pindi wanapokunywa bia? Nilifika ninapokwenda kabla sijapata jibu sahihi. Unafikiri ni kweli hiyo Ho?
Back
Top Bottom