Search results

  1. M

    Mjue CAG na hatua ambazo Serikali ya Rais Samia imeshachukua

    Na Mwandishi wetu Baraka Mussa (Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Wilaya ya kigoma mjini), Kwanza nianze kuwasalimia Kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Pia ningeomba Vijana wa ACT wasome andiko hili vizuri ili itawasaidia kuachana na maandamano yao ya kipuuzi,Pia andiko hili...
  2. M

    Nimeingia Dodoma; mtaji wa milioni nne naweza kufanya biashara gani?

    Nimekuja kuomba ushauri kwenu nina mtaji wa milioni nne naweza kufanya biashara gani Dodoma. Nina ujuzi wa computer na uzoefu katika kutengeneza computer hadi chip level, kutengeneza simu sinauzoefu ila nimeshapata mafunzo kidogo. Kichwani kwangu nina mawazo matatu moja kufungua mgahawa...
  3. M

    Hacker ni nani??

    Asalam alykum warahamatuallah wabarakatu. Inshallah katika makala zangu za ""HACKER ""au MDUKUZI. Maana maarufu ya "Computer hacker /hacker ni mtu ambaye anadukuwa taarifa zako bila muhusika kujua (anaingia taarifa zako za mitandaoni na kuzichukuwa au kuzitumia bila muhusika kutambua). Watu...
  4. M

    Nilichanganya mafaili,

    Miaka iliyopita Niliwahi kuwa na uhusiano na bint aliyekuwa Mwanafunzi wa chuo Fulani ,Kisha uhusiano ukavunjika kutokana na yeye kuleta usaliti na kuanza uhusiano na mwanaume mwingine, Mimi nikamformat nikaendelea zangu na Harakati zangu. Baada ya Kama Mwezi mmoja akanitafuta na kuomba turudi...
  5. M

    Kodi ndogo huongeza mapato makubwa

    According to Ibn Khaldun(muqqadimah ), tax revenues of the ruling dynasty increase because of business prosperity, which flourishes with easy, not excessive taxes. ... , Nini maoni yako?
  6. M

    Subtitle ya jamai iraja nä Naagin?

    Kama Kichwa cha Habari kinavyo Sema, nahitaji mnisaidie namna ya kupata subtitles ya movies ya jamai iraja nä Naagin
  7. M

    Fastscan: App nzuri na rafiki kwa mtumiaji inayo-scan documents na kuziweka kwenye mfumo uutakao

    Fastscan ni App nzuri na friendly user ambayo humsaidia mtumiaji kuscan document zake na kuziweka Katika format aitakayo Kama PDF, jpg, JPEG, etc, hii imenisadia kuscan vitabu na kuhifadhi katika Simu yngu au computer, imenisadia kuscan vyeti vyangu na kusaidia vijana wenzangu pale wanapotaka...
  8. M

    Nataka nijifunze Adobe Aftereffect na Photoshop CS6

    Habari zenu? Ndugu zangu mimi napenda sana kuwa mjuzi na mbobezi wa Adobe After effects katika kutengeneza video introduction na video editing pia napenda niwe mjuzi katika Adobe Photoshop C6 ili niweze kudesign na kutengeneza matangazo, posters, brochure, hata kuedit picha. Nachojua Katikati...
  9. M

    Anakuhitaji mwenyewe kisha anakuacha mwenyewe?

    Habari zenu wanaJF, Miaka michache iliyo pita nilikuwa nikipata mikosi yaani nakusudia binti anakupenda mwenyewe anaomba uhusiano na wewe pia akiwa na nia umuoe, wewe unajitolea mnafika hatua ya kutambulishana pia anakujali vizuri na mwishoe anaanza vituko na kukuacha, hii mikosi imewahi...
  10. M

    Ushauri: Hataki nijulikane kwa marafiki na ndugu zake

    Habari zenu wana JF, Kuna binti nikimuacha yaani tukivunja uhusiano analia na kunibembeleza turudiane katika mahusiano, lakini nikimpatia maelezo mazuri huyapuuza mfano tukipanga tuonane mahali salama kwa mazungumzo ya kawaida hafiki pia hataki nijulikane kwa rafiki zake au ndugu zake kama tuna...
Back
Top Bottom