Search results

  1. mzalendoalltz

    Malalamiko ya Upendeleo kwa wasimamizi wa Road Reserve Dar es Salaam

    Wananchi wengi wanalalamika hasa suala la upendeleo wa wazi unaoonyeshwa na wasimamizi wa eneo tengwa la barabara yaani (Road reserve) tunaona serikali inafanya jitahada za kuwaondoa wavamizi sawa ila idara hii imekuwa sugu kwa Rushwa maana kuna watu wengi wapo na hawaondolewi na wamekaa miaka...
  2. mzalendoalltz

    Hili la Umeme litaing’oa CCM, si kwa mateso haya

    Sis wakazi wa Dar bila umeme ni sawa na kutupwa jehenam ukiwa hai. Yaani kwa sasa hatulali usiku maana kuna joto balaa. Ukiweka kitu kwenye fridge kinaoza maana umeme umekuwa wa mgao na hawa wachumia tumbo hawaongei lolote wao wamejiwekea Jenereta kwa kodi zetu hawaoni taabu. Lakini...
  3. mzalendoalltz

    Maji Umeme MB na Tozo CCM Kwaherini

    Hawa mawaziri wanaoongoza hizi wizara wana ajenda ya siri ya Kumng’oa Samia. Mama kaa chonjo watakugharimu Urais wako wewe endelea kuwakumbatia, wananchi tunakuangalia kwa jicho la tatu
  4. mzalendoalltz

    Upendeleo wa DAWASA wa kugawa Maji

    DAWASA wanaupendeleo dhahiri, maeneo mengi wanalalamika hawana maji wiki ya nne ili hali maeneo mengine yanapata maji mara tatu kwa wiki. Wakazi wa Tegeta wamesema kwao upendeleo unaonekana waziwazi. Maeneo mengine kibao wanalalamika, Fuateni haki acheni upendeleo
  5. mzalendoalltz

    Baada ya Rais Samia kuwaachia uhuru TANESCO, sasa wameanza kuhujumu wananchi

    Kwa sasa kumekuwa na mgawo wa umeme ambao kwa kweli unakwamisha maendeleo. Baadhi ya maeneo umeme unakatwa kutoka asubuhi mpaka jioni. Mfano ni Tegeta na maeneo mengine. Kweli hii ndio dhana ya kazi mama aliyosema mpaka akabadilisha baraza? Mbona wakati wa ndungu yetu Magufuli wananchi tuliishi...
  6. mzalendoalltz

    Watanzania mlionyanyaswa wala msiandamane

    Nimeona uchanguzi wa Marekani ulivyofanyika, unatia raha maana nusu kwa nusu maana yake nini maendeleo hayakwepeki. Hakuna mahali maendeleo yataacha kwenda kisa wamechagua upinzani, watakuona kama uliyechanganyikiwa. Sera za nchi ni lazima kutekelezwa kwa ujula wa kinchi na priorities za nchi...
  7. mzalendoalltz

    “Usiogope Covid. Usiache itawale maisha yako." Maneno ya Trump

    My take: Walitakiwa kumsikiliza Rais John Pombe Magufuli alituambia tangu miezi kadhaa iliyopita kuwa tusiogipe, kama dunia ingezingatia ujasiri huu wa Rais huyu mjasiri zaid duniani leo tusingekuwa tunaahirisha shule kama wenzetu Kenya, tungekuwa na COVID-19 free ZONE like Tanzania. Kongole kwa...
  8. mzalendoalltz

    Ni ipi akili kubwa hapa? Kufungia watu wafe njaa ama kupambana kwa tahadhari watu wale maisha?

    Nimeangalia ndugu zetu hawa wafuata mkumbo nimegundua mengi sana. Mosi: Kuna wananchi wanadanganywa hapa ati COVID-19 inaongezeka kwa kasi sana, yawezekana hii ikawa ilikuwa janjajanja ya watu fulani kupiga hela. Pili: ina maana gani unamfungia mtu asiambikizwe COVID-19 ili hali mtu huyohuyo...
  9. mzalendoalltz

    Katiba ya Kenya ni nzuri sana ila hawaioni

    Kuna kipindi alikuja mjinga mmoja hapa akasema utamu wa katiba ya kenya na kuponda sana katiba ya tanzania nakubali katiba yetu ina mapungufu na ya kwao ni nzuri ila nashangaa kwann wanataka kuibadilisha to suit some minority needs and not majority. Utamu wa katiba mpya, Wakenya tujifunze na...
  10. mzalendoalltz

    Wakenya tusome hapa

    Viongozi wa Kenya endeleeni kushupaza shingo mwisho wa siku zitavunjika. Ninachotaka kusema ni nini? Wasaidieni wakenya(wananchi) kwa sababu hii vita ya Corona ni kwenda nayo kwa umakini sana. Wazungu ni watu wa ajabu sana, Kwanza hawapendi nchi yenu bali wanapenda kuitumia kama tambara bovu...
  11. mzalendoalltz

    Naona hapa kuna jambo lakini wawe makini sana wanaojaribu kuliibua bila kusababisha madhara kwao

    Naona hapa kuna nchi wanaitumia Tanzania kama sehemu ya kisingizio kuwa kuongezeka kwa kwa Coronavirus ni kwa sababu ya TZ kutofanya lockdown. Lockdown haina maana kwa nature ya huu ugonjwa, cha maana ni elimu kwa wananchi waelewe jinsi unavyoenea na kujikinga kwa kuvaa PPE, kula vyakula vya...
  12. mzalendoalltz

    Huwa tunasema Kenya ina viongozi wanaofikiri kila Jambo ni fursa lakini kwa hili mmefeli

    Hawa viongozi wana akili kweli wanaona jinsi China inavyohangaika na hili gonjwa halafu wao kwanza ndio wanafanya misifa ati wanasema wasafiri wote wako salama. Mkenya gani aliyenda kuwapima huko China na kuiletea taarifa serikali? Akili za panzi Wafukuzwe kazi maana wana akili ndogo sana hawa...
  13. mzalendoalltz

    KQ and ATCL wanaelekea wapi?

    Wana JF kuna mmoja anapunguza ndege na kuna mwingine anaongeza ndege hii imekaaje? Hii ina tofauti na wale wanaotamani kuikimbia ndoa na wengine wanataka kuingia kwenye...
  14. mzalendoalltz

    Magufuli si mchezo, wale majirani mnao mhadaa ipo siku mtakubali tu

    Naona Rais Magufuli anafanya vitu vinavyokuna mioyo, anafanya juu chini kuhakikisha nchi inajengwa, Rufiji hydro power Nchi yoyote yenye umeme si kificho kuwa uchumi wake hukuwa haraka sana, kutokana na ukweli kwamba viwanda vikubwa na vidogo vitaongezeka, mazingira yatadumishwa maana hata...
  15. mzalendoalltz

    Mh Rais Hebu tupia jicho la pili huko Tamisemi/Tarura ziara za nje ya nchi zina umuhimu?

    Tunajua huu ni wakati wa kila mtanzania kbana matumizi, kulipa Kodi na kujinyima mengi ili tuweze kujenga Bwawa letu la umeme na mwisho wa siku umeme utapungua bei sana. Hawa wanasimamia barabara za mjini zinazofadhiliwa na world bank, barabara hizi bado hazijafikia viwango wa trunk roads kwa...
  16. mzalendoalltz

    Katika pitapita zangu nimekutana na hili namuomba MK254 anitafsrie

    Hivi kweli jambo kama hili kwa nchi yenye kipato cha kati yanawezatokea ama naota.
  17. mzalendoalltz

    Bariki, Accasia na GoT nani mshind?

    https://www.thecitizen.co.tz/news/Barrick-CEO-speaks-of-risks-in-Tanzania-situation-/1840340-5130542-kurjikz/index.html
  18. mzalendoalltz

    Tanzania na Uganda tuungane kusaidia wenzetu Wakenya waliokumbwa na baa la njaa

    Ukame Kenya Waturkana 14 wafa kwa njaa Nimewahi kusema maneno mengi hayavunji mfupa. Wakenya wengi wanaleta habari za kuonyesha kuwa wako second world, lakini ukiwaambia kuwa utajiri mwingi haupo kwa wananchi wa kawaida hawaelewi. Utajiri mwingi wa Kenya Umelala Nairobi sehemu nyingine ni...
  19. mzalendoalltz

    Kenya wako vizuri kujifumza

    Katika pitia somasoma yangu ya bbc nimekutana na hili Wakenya nao wameenda kujifumza si China, USA wala EU bali kutoka Tanzania. Si kila wakati mnasema Tanzagiza, mara LDC lakini muwe mnasema Tanzatechno maana hapa mmefunga safari kwenda kujifumza. Hongereni majirsni Jinsi kinyesi kinavyogeuka...
  20. mzalendoalltz

    Wakenya kazi mnayo, ina maana Wachina wakichukua port ya Mombasa wana uwezo wa kuchukua na sehemu nyingine ya nchi?

    Huwa nakisikia haya majamaa yanavyoongea kwa kujigamba unaweza ukahisi hii dunia ni mali yao, kumbe kazi ya ni kusaini tu mikataba bila hata kuangalia ina athari gani. Kuna Mkenya humu kaandika uzi kwa majigambo akishangilia kuona viongozi wake wakisaini mikataba ya EPA bila hata kuangalia nn...
Back
Top Bottom