Kenya wako vizuri kujifumza

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
828
709
Katika pitia somasoma yangu ya bbc nimekutana na hili Wakenya nao wameenda kujifumza si China, USA wala EU bali kutoka Tanzania. Si kila wakati mnasema Tanzagiza, mara LDC lakini muwe mnasema Tanzatechno maana hapa mmefunga safari kwenda kujifumza. Hongereni majirsni

Jinsi kinyesi kinavyogeuka lulu Tanzania
 
Uwe unatulia na kusoma taarifa kwanza na kuzielewa kabla ya kuingiwa na mihemko ya kuzileta humu, nimejifunza msamiati mpya kujifumza, nilifikiria umekosea kwenye title, lakini baada ya wewe kulirudia nikaona kumbe hilo neno unalo kwenye kamusi yako.

Anyway, hao Wakenya naona kama wametaka kuharibu hela yao bure maana mfumo wa kutumia kinyesi cha binadamu kutengeneza nishati tayari upo Kenya na unatumika kwenye mitaa kadhaa.
Na pia uchakatwaji wa maji taka ni jambo la kawaida sana huku Water purification machine stirs town : The Standard

Kama kawaida ya wakenya hawana akili wala umoja, wanaweza kuamua hili, wengine wanapinga. Kenya kuja kujifunza Tanzania ni kitu cha kawaida sana, wakenya wamekuja kujifunza kuhusu,
1)BRT
2)Nyumba kumi
3)Uboreshaji miji(Arusha)
4)Uchakataji wa maji taka na Kinyesi
5)Mafunzo ya Kijeshi(Monduli)

Soon watakuja kujifunza jinsi ya uendeshaji wa Electric SGR. Hiyo ndio maana na faida ya kuwa majirani, kujifunza best lessons toka kwa jirani yako, sio kuendelea kiburi na sifa zisizokua na faida yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe unatulia na kusoma taarifa kwanza na kuzielewa kabla ya kuingiwa na mihemko ya kuzileta humu, nimejifunza msamiati mpya kujifumza, nilifikiria umekosea kwenye title, lakini baada ya wewe kulirudia nikaona kumbe hilo neno unalo kwenye kamusi yako.

Anyway, hao Wakenya naona kama wametaka kuharibu hela yao bure maana mfumo wa kutumia kinyesi cha binadamu kutengeneza nishati tayari upo Kenya na unatumika kwenye mitaa kadhaa.
Na pia uchakatwaji wa maji taka ni jambo la kawaida sana huku Water purification machine stirs town : The Standard

Wewe ume google ndani ya dakika moja umepata hiyo taharifa, unahisi hao ambao wako kwenye hiyo business hawajui kuwa Kenya hiyo kitu hipo! Wamekuja Tz kwasababu kuna namna ambavyo Tz inafanya vizuri zaidi. Postal bank yenu last week walikuja Tz kujifunza, kwa akili yako utabisha kwa kuwa Kenya pia kuna banks kwa hiyo hawapaswi kuja Tz!
Screenshot_2019-02-06-10-46-10.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ume google ndani ya dakika moja umepata hiyo taharifa, unahisi hao ambao wako kwenye hiyo business hawajui kuwa Kenya hiyo kitu hipo! Wamekuja Tz kwasababu kuna namna ambavyo Tz inafanya vizuri zaidi. Postal bank yenu last week walikuja Tz kujifunza, kwa akili yako utabisha kwa kuwa Kenya pia kuna banks kwa hiyo hawapaswi kuja Tz!View attachment 1014818

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh! Kweli Post bank wameisha kama wameshuka hadi kiwango cha kuja huko kujifunza, nawatakia kila la heri maana hawa post bank ndiko nilianzia akaunti yangu ya kwanza nikiwa dogo kitaa.
 
Duh! Kweli Post bank wameisha kama wameshuka hadi kiwango cha kuja huko kujifunza, nawatakia kila la heri maana hawa post bank ndiko nilianzia akaunti yangu ya kwanza nikiwa dogo kitaa.
Waziri wenu wa utalii Hon Balala na yeye alikuja na timu yake kujifunza Tanzania. Itabidi siku nyingine wasiwe wanakuja Tz wawe wanakuja kwako uwafundishe kutumia google.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom