mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Naona Rais Magufuli anafanya vitu vinavyokuna mioyo, anafanya juu chini kuhakikisha nchi inajengwa,
Rufiji hydro power
Nchi yoyote yenye umeme si kificho kuwa uchumi wake hukuwa haraka sana, kutokana na ukweli kwamba viwanda vikubwa na vidogo vitaongezeka, mazingira yatadumishwa maana hata ukataji wa miti utapungua maana watu watatumia umeme zaidi kukiko mkaa, time saving na hivyo kuongeza uchapa kazi zaidi, umeme unasaidia sana irigation kwenye agriculture n.k
Naona anazidi kuipaisha sekta ya usafiri anaongeza tena ndege
Tumpe heko
Na mengi anayoyafanya
Tumuunge mkono wana East Africa maana najua tunajifunza kitu kwake. Si kila siku lawama tuu

Tanzania signs contract to buy two new Airbus planes
The Tanzania Government Flight Agency has today Thursday, September 19, signed a purchase contract agreement with Airbus Company to buy two new Airbus aircrafts.
www.thecitizen.co.tz