Wakenya tusome hapa

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
828
709
Viongozi wa Kenya endeleeni kushupaza shingo mwisho wa siku zitavunjika.

Ninachotaka kusema ni nini? Wasaidieni wakenya(wananchi) kwa sababu hii vita ya Corona ni kwenda nayo kwa umakini sana. Wazungu ni watu wa ajabu sana,

Kwanza hawapendi nchi yenu bali wanapenda kuitumia kama tambara bovu. Wangependa hata leo hii mteketee wote waje waishi humo.

Nirudi kwenye somo ni kwamba jaribuni kusikiliza hata majirani zenu wanafanya nn mbona kwao Corona hamna kwa wingi hivyo? Jibu rahisi wanapiga nyungu na ktumia matunda yenye madini ya Zinc pamoja na vitamin C na sio kwamba Corona haipo kwao bali ikiingia kwenye mwili wa mtu ikakuta zinc na vitamin C haina pa kutokea. Na ndio maana mlikuwa mnashangaa kwa nn wenzetu wanadunda hivyo?

Viongozi wenu wanataka lockdown ili wapige pesa maana hizi fedha za Corona ni ngumu kwenye audit na ndio hapo wanawapiga.

Someni hii

Virusi vya corona: Utafiti wabaini Wakenya karibu milioni 2.6 wameugua Covid-19 - BBC News Swahili
 
Kuna mmalysia alikaa hapo kwenu tangu January mpaka February alikuwa anafanya nini mwisho akaenda Dubai na Beijing akapotea kwenye rada

Ubepari si mchezo
 
Viongozi wa Kenya endeleeni kushupaza shingo mwisho wa siku zitavunjika.

Ninachotaka kusema ni nini? Wasaidieni wakenya(wananchi) kwa sababu hii vita ya Corona ni kwenda nayo kwa umakini sana. Wazungu ni watu wa ajabu sana,

Kwanza hawapendi nchi yenu bali wanapenda kuitumia kama tambara bovu. Wangependa hata leo hii mteketee wote waje waishi humo.

Nirudi kwenye somo ni kwamba jaribuni kusikiliza hata majirani zenu wanafanya nn mbona kwao Corona hamna kwa wingi hivyo? Jibu rahisi wanapiga nyungu na ktumia matunda yenye madini ya Zinc pamoja na vitamin C na sio kwamba Corona haipo kwao bali ikiingia kwenye mwili wa mtu ikakuta zinc na vitamin C haina pa kutokea. Na ndio maana mlikuwa mnashangaa kwa nn wenzetu wanadunda hivyo?

Viongozi wenu wanataka lockdown ili wapige pesa maana hizi fedha za Corona ni ngumu kwenye audit na ndio hapo wanawapiga.

Someni hii

Virusi vya corona: Utafiti wabaini Wakenya karibu milioni 2.6 wameugua Covid-19 - BBC News Swahili
Wakenya wanajifanya wasomi wakati wanashindwa kuelewa sayansi ya darasa la tatu tangawizi ina zinc limao ina vitamin c na zote zina kazi ya kuimalisha kinga ya mwili
 
  • Thanks
Reactions: B51
Back
Top Bottom