Search results

  1. rrm72

    Nini mahitaji ya watanzania kisiasa?

    Wana JF Pengine hili linahitaji mjadala kuhusu nini hasa watanzania tunahitaji kwa sasa 1. Kati ya mwaka 1990-1995 serikali ya awamu ya pili iliachilia mambo mengi yaende kama yatakavyo hadi raisi akabatizwa jina RUKSA. Ubadhirifu wa mali za umma ulikuwa wa aina yake na wote mtakumbuka maskando...
  2. rrm72

    LITAKUWA SOMO GANI WANA-UKUTA WASIPOTOKE TAR 1 SEPT

    Nikitazama na kusikia nguvu kubwa amabayo serikali imejiandaa kukutana na UKUTA tarehe moja Nikawaza hivi wakikaza uzi wa kusema maanamano ya UKUTA ni lazima na msimamo huo ukadumu hadi tarehe 31/8/2016 saa 6 usiku. Kisha kimya kimya tarehe moja hawatokei tarehe 1 sept. Mipolisi, wakuu wa mikoa...
  3. rrm72

    I wapi ile meter ya kusoma pumzi ya kisiasa?

    Takribani miezi 10 iliyopita Tanzania tulibahatika kuwa na kifaa maalum cha kutujuza kama chama fulani cha siasa kina pumzi ya kutosha au laa. Ilitusaidia saana. Maana tulipata thread intaitwa HAO WAMEISHIWA PUMZI na watanzania tukaanza kuchukua maamuzi Leo hii kifaa i wapi itujuze chama...
  4. rrm72

    THE ONLY BOOK

    The book that reads us as we read it.
  5. rrm72

    Wanawake katika uongozi, tutarajie nini serikali ya sasa?

    Nawaza tu 1.Kumekuwa na misemo mingi kama vile ukimuelimisha mwanamke umeelimisha taifa zima, ukiona mwanaume mwenye mafanikio ujue kuna mwanamke anae, wanawake tunaweza tukiwezeshwa, na semi nyinge nyingi 2. pamekuwa na mikataba ya kimataifa, jiitihada za kitaifa zenye kupigania haki ya...
  6. rrm72

    Kwa nini wanaume ndo target?

    Wana JF Naomba kujuzwa, nimekuwa nikifuatilia matukio haya yaliyo mengi yanawahusu wanaume, kwa nini? Mfano; Dukani wanauza viagra_kwa ajili ya wanaume Mganga has masai anauza daya _Dawa ya kuongeza nguvu_za kiume Mganga ana dawa ya kumpata mpenzi mpya _mwanaume Mganga ana dawa ya kumrudisha...
  7. rrm72

    Risiti ya EFD bila jina ya kilichonunuliwa inakaaje hii

    Ndugu wana JF Nilikutana na mtu kabeba bidhaa zake alizonunua, nikamuuliza umenunua shilingi ngapi, akanitajia. Nikauliza umechukua risiti ya EFD akasema ndiyo na bila kumuomba akaitoa kunioonyesha. Kusoma pesa iliyoandika ni robo ya pesa aliyonitajia. Nikamuuliza mbona hii pesa sio, akasema...
  8. rrm72

    Babu wa samunge hana sifa ya kushitakiwa?

    Habari wana JF, Napenda kujulishwa yafuatayo, Hivi kikombe cha babu wa samunge bado kinaendelea? Kati ya mamia, kama si maefu ya waliokunywa ile kitu, kuna takwimu za waliopona (Ukimwa wangapi?, Kanza wangapi?, TB wangapi?, kisukari wangapi?) Kama hakipo tena na hakuna taaria za kitakwim za...
  9. rrm72

    Dharula-model ya utendaji serikali ya ccm 2005-2015

    Wakati tukiwa shule ya msingi, tulisikia kila mara wakubwa zetu wakimtaja Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa jina la Musa. Walielezea kuwa jina hilo lilitokana hasa na jinsi Raisn huyo wa Serikali ya Awamu ya Kwanza alivyozoea kushika fimbo kila alipoonekana hadharani. Busara zake...
Back
Top Bottom