rrm72
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 508
- 300
Wana JF
Naomba kujuzwa, nimekuwa nikifuatilia matukio haya yaliyo mengi yanawahusu wanaume, kwa nini?
Mfano;
Dukani wanauza viagra_kwa ajili ya wanaume
Mganga has masai anauza daya _Dawa ya kuongeza nguvu_za kiume
Mganga ana dawa ya kumpata mpenzi mpya _mwanaume
Mganga ana dawa ya kumrudisha mpenzi _mwanaume
Mganga ana dawa ya kuongeza mapenzi katika ndoa-mlengwa mwanaume
Mganga ana dawa ya kupumbaza mtu _mlengwa mwanaume
kwa nin wanaume tu???