LITAKUWA SOMO GANI WANA-UKUTA WASIPOTOKE TAR 1 SEPT

rrm72

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
508
300
Nikitazama na kusikia nguvu kubwa amabayo serikali imejiandaa kukutana na UKUTA tarehe moja Nikawaza hivi wakikaza uzi wa kusema maanamano ya UKUTA ni lazima na msimamo huo ukadumu hadi tarehe 31/8/2016 saa 6 usiku.
Kisha kimya kimya tarehe moja hawatokei tarehe 1 sept.
Mipolisi, wakuu wa mikoa, wilaya waliojiandaa mizuka, mabomu, washawasha, matingatinga, kupambana watajisikiaje?
AIBUUU?
 
Back
Top Bottom