Search results

  1. K

    Kifo cha Akwilina, maandamano ya Chadema, barua ya Msajili Mutungi na hadithi ya kalumekenge

    Kwa wale wahenga wenzangu wanaikumbuka hadithi hii ya kalumekenge,,,naanza,baba yake kalumekenge alimwamuru kalumekenge aende shule,lkn kalumekenge akakataa,baba yake akaenda kwa FIMBO,akaiambia nakuomba umchape kalumekenge kwani hataki kwenda shule,FIMBO ikakataa,baba akaufuata MOTO,moto naomba...
  2. K

    Mwalimu wa vistation sekondari hukutumia busara katika hili

    Kwa nia njema kabisa niwapongeze kwa kazi yenu ya kuelimisha, lakini kwa alichofanya mwalimu wenu au kiongozi wa msafara wa wanafunzi waliotoka Dar leo tarehe 12,1,2018 sio cha busara kabisa, Ni hivi; bus limetoka Dar (kidia one) kuja Moshi, inawezekana baadhi ya wanafunzi walitangulia na bus...
  3. K

    Mikutano Kata 43 inatosha kabisa UKAWA kumwaga sumu

    CCM walijitahidi kuzuia upinzani kufanya mikutano lakini walishindwa kujipanga kuwa wafanyeje iwapo kutakuwa na chaguzi ndogo. Sasa kumekucha, huku Mbowe pale Zitto kule Lema kule Msigwa, pale Maalim Seif hapa Mh Lowassa. Duuh! Waibe wanyang'anye lakini wataumbuka tu. KAZI KWENU UKAWA...
  4. K

    Uhuru Kenyatta wewe ndiye mshindi

    Hakika niseme kweli mimi siko upande wako japo mie ni mTZ ninayefikiria kuomba uraia wa kenya lkn ulichofanya kimekufanya uwe mshindi zaidi ya ushindi wa urais,hata ikitokea kura zako zisitoshe fahamu kuwa wewe ni mshindi wa demokrasia. Amini usiamini huku TZ umekua habari si kwa kunyang'anya...
  5. K

    Mkutano wa Simba akidi ilitimia?

    Najaribu kuulizia tu,inasemekana simba ina wanachama takribani 5000 sasa katika mkutano wa leo waliohudhuria ni 1200,je mpaka hapo akidi ilitimia?kama haijatimia maamuzi ya leo ni halali? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Simba vs Rayon: Mbona hakukuwa na bendera za Tanzania na Rwanda?

    Sijui niko sawasawa lkn nijuavyo mimi mechi kama hii ya SIMBA na RAYON ni ya kimataifa sasa nisichokijua mbona hakuna bendera ya TAIFA wala ya RWANDA wala ya FIFA wala ya CAF,hii ni sahihi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Ziara ya Everton na ujinga wa watanzania

    Ninasikitika saaana na naona aibu kujiita mtanzania,kila nikifikiria baadhi ya mambo najikuta si TZ,eti SPORTPESA wameandaa mashindano na wakatangaza kuwa mshindi wa mashindano hayo atacheza na Everton, cha ajabu wenzenu wa KENYA wakajipanga kwelikweli ili waweze kucheza na Everton lkn nyie...
  8. K

    Simuungi mkono Malinzi lakini sijaona wa kumng'oa

    Nakumbuka miaka ya nyuma mchambuzi mmoja wa soka alikuwa maarufu sana kupitia DTV chanel ten kama sijakosea,alikua anaitwa LIKY ABDALA,kutokana na yule bwana kuonekana kila siku ya mechi kubwa akifanya uchambuzi basi baadhi ya wa TZ wakapendekeza agombee u katibu mkuu wa FAT enzi hizo kwani...
  9. K

    Upotoshaji kuhusu Samata

    Sio siri samata yuko juu ki mpira,lkn sio kweli kuwa samata ni bora kwa kuwa mchezaji bora wa afrika kuliko wanyama,ukweli ni huu, SAMATA ni mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (afrika)na sio mchezaji bora wa afrika kwa wachezaji wote wa kiafrika,na ushindi wa SAMATA...
  10. K

    MPAGANI AKISILIM/KUBATIZWA,SHEHE/PADRI HASUSII IBADA

    Wooote mlionyanyasika huko ccm karibuni ukawa,hiyo ndiyo siasa,sijaona shehe aliyesusa msikiti eti kisa mpagani kasilimu
  11. K

    Afande Trump wa Moshi ni mfano bora

    Nimekuwa mdau wa usafiri kwa muda mrefu na kati ya watu niliokuwa nawaogopa ni TRAFIK POLIS,kwa kuwa wengi ni jeuri na kiburi sana,lkn kwa afande trump(sio jina lake)ni mfano bora,yeye huamka saa 11 alfajiri na kuingia bus stand,na kuanza kutoa maelekezo/taratibu /kanuni za udereva bora,na pia...
  12. K

    Kwani ni yeye aliyefanya mtihani basi!!?

    News Alert: - Amepataje B ya kiswahili Amepataje B ya kiswahili
  13. K

    Siri ya watia nia, Wengi ni mtandao

    Kama hujui tambua hili yule Mti nia anayemwaga mihela,ametengeneza watia nia wake ambao kazi yao ni kuimarisha mtandao wao huko mikoani, lengo likiwa kuanza kampeni kabla ya muda hivi sasa watia nia hao wako mikoani wakiendelea kuimarisha mtatandao kwa jina la kutafuta wadhamini. Mpaka sasa...
  14. K

    Ni halali kutozwa ushuru wa stendi Tarakea pasipo na stendi?

    Wapendwa wanajamvi,naomba kuuliza hivi ,kitendo kinachofanywa na halmashauri ya ROMBO cha kutoza ushuru hapo Tarakea kina uhalali gani? Kwanza hakuna stand wala hata vyoo hakuna lakini leo wanatoza ushuru,huko si kuibiwa!! Naomba mawazo yenu wana jamvi:yield:
Back
Top Bottom