kiamangwana
Senior Member
- Feb 28, 2015
- 175
- 89
Kama hujui tambua hili yule Mti nia anayemwaga mihela,ametengeneza watia nia wake ambao kazi yao ni kuimarisha mtandao wao huko mikoani, lengo likiwa kuanza kampeni kabla ya muda hivi sasa watia nia hao wako mikoani wakiendelea kuimarisha mtatandao kwa jina la kutafuta wadhamini.
Mpaka sasa ameshaingiza watangaza nia 14 kati ya 18 waliopo,hili si pigo kwa UKAWA tu bali hata kwa yule Mmachinga na yule Mnyamwezi wanatakiwa wajue hili.
Kwani wapambe wa mti nia huyo wote watajitoa na kumuunga mkono huyo mmwaga fedha,ebu fikiri watia nia 15 kati ya20 wote wakijtoa na kutangaza kumuunga mkono huyo jamaa hata hiyo KAMATI KUU itakuwa na ubavu wa kumuengua?