Ziara ya Everton na ujinga wa watanzania

Ziara ya Everton na ujinga wa watanzania

kiamangwana

Senior Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
175
Reaction score
89
Ninasikitika saaana na naona aibu kujiita mtanzania,kila nikifikiria baadhi ya mambo najikuta si TZ,eti SPORTPESA wameandaa mashindano na wakatangaza kuwa mshindi wa mashindano hayo atacheza na Everton,

cha ajabu wenzenu wa KENYA wakajipanga kwelikweli ili waweze kucheza na Everton lkn nyie watanzania mkaleta politics matokeo yake leo Everton wanacheza na wakenya ndani ya ardhi yenu nyie wenyeji mnabaki kuwa watizamaji.

Kwa maana ingine wa KENYA wanaona mbali kuliko wa tz,eti kisingizio ni kuwa ligi yenu iliisha na wachezaji wenu wazuri walikuwa timu ya taifa!nikajiuliza hata Niyonzima,Kamusoko,Ngoma,tambwe,chirwa,na mkata umeme (upande wa yanga) wote walikuwa taifa star?

maana najua ngoma,kamusoko,tambwe,hawapo timu ya taifa zao,mlishindwaje kujipanga mpaka wa kenya wanawaaibisha mchana kweupe?.

Mwisho nikajua ndio kumbe maana Tanzania nzima hakuna kiungo bora kama Niyonzima,wala mshambuliaji bora kama Okwi,wala Kamusoko wala Mavugo na ndio maana wananunuliwa ghali,naamini wote hao wangekuwa wa Tanzania woote hao wangeitwa taifa star,lkn angalia kule Zimbabwe hawana namba,lakini Tanzania ni mali,

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Ninasikitika saaana na naona aibu kujiita mtanzania,kila nikifikiria baadhi ya mambo najikuta si TZ,eti SPORTPESA wameandaa mashindano na wakatangaza kuwa mshindi wa mashindano hayo atacheza na everton,cha ajabu wenzenu wa KENYA wakajipanga kwelikweli ili waweze kucheza na everton lkn nyie watanzania mkaleta politik matokeo yake leo everton wanacheza na wakenya ndani ya ardhi yenu nyie wenyeji mnabaki kuwa watizamaji,kwa maana ingine wa KENYA wanaona mbali kuliko wa tz,eti kisingizio ni kuwa ligi yenu iliisha na wachezaji wenu wazuri walikuwa timu ya taifa!nikajiuliza hata niyonzima,kamusoko,ngoma,tambwe,chirwa,na mkata umeme (upande wa yanga) wote walikuwa taifa star?maana najua ngoma,kamusoko,tambwe,hawapo timu ya taifa zao,mlishindwaje kujipanga mpaka wa kenya wanawaaibisha mchana kweupe?.mwisho nikajua ndio kumbe maana TZ nzima hakuna kiungo bora kama niyonzima,wala mshambuliaji bora kama okwi,wala kamusoko wala mavugo,na ndio maana wananunuliwa ghali,naamini wote hao wangekuwa wa TZ woote hao wangeitwa taifa star,lkn angalia kule zimbabwe hawana namba,lkn TZ ni mali,

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app


Kwa hiyo wewe siyo Mtanzania? Na siyo kinachokuuma nini sasa?
 
Naunga hoja ni aibu sana maana ingecheza timu za Tanzania ndio tungejitangaza zaidi. Kwa kweli watz hapo tukubali tumechemsha tulishindwa hata kufanya fitna. Tumerogwaaa.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Naunga hoja ni aibu sana maana ingecheza timu za Tanzania ndio tungejitangaza zaidi. Kwa kweli watz hapo tukubali tumechemsha tulishindwa hata kufanya fitna. Tumerogwaaa.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app


Kwa nini hawajaenda kuchezea Kenya basi kama ni wajanja zaidi?
 
point yako wewe ni ipi.. maana naona unalialia tu
 
Huwa baadhi ya watanzania wenzangu nawashangaa kwa kuwa inferior kwa wakenya, sijui nani kawaroga.
Poor you
 
Kwa nini hawajaenda kuchezea Kenya basi kama ni wajanja zaidi?
Ishu ni matangazo,

Sport pesa walitaka kuingia Tz kwa nguvu, ndo wakaleta hii mambo huku, wameshapenya usitegemee mwakan ifanyike hapa

Pili tumeshindwa kufanya fitina timu zetu zicheze wakiwa hapa tusitegemee sana kufanikisha hilo ,wakati ambao zitakuwa zinacheza huko

Tatu suala la Timu zote za Tz kukosa ushindi ni suala la "Bora tukose wote" zaid kuliko sababu zozote zile zinazoweza kutajwa, fikiria safu ya uongozi wa Sport pesa kisha utaliona hilo peupe

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
tz mpira wa miguu umetushinda labda tujarib mchezo wa kuogere tunaweza fika mbal kwasabab tuna bahar,maziwa na mito ya kutosha
 
Swali la watu wasiofahamu ni kujiuliza vipi timu itoke England iende pre season Tanzania halafu icheze na timu ya Kenya?? Sasa hapo kuelezea eti timu za bongo zilishindwa ni aibu yenyewe inapoanzia..Hivi unafikiri hayo mashindano ya sportpesa yangefanyika Kenya hao jamaa piga ua garagaza wasingekubali timu ya Tz ishinde.. wabongo tukubali tu hapo tumechemsha tungefanya fitna hadi tushinde tucheze na Everton. Tumechemsha big time.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Embu niambie na mie nimeiona hiyo nikafikiri labda kuna mechi itafata na Taifa Stars sijui timunza ligi... kumbe ndio inaishia hapo DUH

Ila kama ilikuwa ya ule mchuano na timh za Tanzania hazikupita ndio hivyo tena.

Kwa sasa kuliko kulalamika ni kuanza kuchukulia kuitangaza nchi yetu

Kama unaipenda nchi yako basi ungekuwa mstari wa mbele kumwaga hashtags mitandaoni hadi kieleweke na kuja humu kuomba wenzako na sie tufate hayo

Kingine na wewe jisikitikie unaleta malamiko bila kuleta manufaiko ambayo menginyapo wazi kufanywa na tukameremeta kama nchi
 
Mkurupukaji tu huyu NYANG'AU.

Kipindi hicho mashindano ya Sports Pesa yanachezwa MAPROFESHNO wote wa Simba na Yanga walikuwa wapo mzigoni kwenye mashindano ya kuwania nafasi kwenda AFCON.

Woote walikuwa huko siyo akina Niyonzima Rwanda, Kamusoko Zimbabwe, Juuko Uganda na wengineo.

Vile haya mashindano hayakuwa hata kwenye Calender ya TFF, KFF etc

Wahenga walisema: JAMBO USILOLIJUA SAWA SAWA NA USIKU WA KIZA.
 
Mashindano yalishirikisha timu za Tanzania na Kenya. Kwa hiyo wewe ulikuwa unadhani ni timu za Tanzania tu ndio zingeweza kushinda kombe na kupata nafasi hiyo?
 
Sio mbaya, kwani Kenya wao wanatuzidi kwa Vigodoro au Singeli original?
 
Tukitoka hapo tuna lalamika hatuna wachezaji ulaya hatuna platform. [HASHTAG]#simbanayangazifetu[/HASHTAG]
 
Wazungu wanachojua timu yao ipo Tanzania period.

Na inacheza na Gor mahia ya Kenya ambayo wao wataelewa ni kama mkoa ulioppo ndani ya Tanzania.

Ila wataelewa Tanzania ndipo kule kuna Ngorongoro alipokuja Beckham na kupiga picha moja tata na bintiye huku Simba Mnyama akiangalia kwa bashasha.
 
Ishu ni matangazo,

Sport pesa walitaka kuingia Tz kwa nguvu, ndo wakaleta hii mambo huku, wameshapenya usitegemee mwakan ifanyike hapa

Pili tumeshindwa kufanya fitina timu zetu zicheze wakiwa hapa tusitegemee sana kufanikisha hilo ,wakati ambao zitakuwa zinacheza huko

Tatu suala la Timu zote za Tz kukosa ushindi ni suala la "Bora tukose wote" zaid kuliko sababu zozote zile zinazoweza kutajwa, fikiria safu ya uongozi wa Sport pesa kisha utaliona hilo peupe

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kweli jibaba,nasikiliza cloud fm hapa,hata waandishi wa habari waliopata nafasi kuongea na everton wengi ni kenya,,,,,wenyeji waongee nao ili,,?wakati timy ni ya kenya

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom