Search results

  1. Cham Bee

    Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

    Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa.
  2. Cham Bee

    Ishi ki-Emoji uone cha mtema kuni

    Nasikia huyu [emoji7]amenusurika kuuwawa huko shinyanga kwa sababu ya macho mekundu.Haka [emoji12]kamepigwa bastora kwa kukonyeza mke wa mtu.Huyu [emoji35]kakosa ajira,huyu kalemaa shingo siku nyingi tu.[emoji123]Haka kapo jela kwa ubabe wa kijinga.
  3. Cham Bee

    Ni zipi faida na hasara za kutafutiwa mke na wazazi?

    Nahitaji msaada maana nimegusiwa na Bi Mkubwa kuwa kuna mtoto mwenye maadili kwa jirani.Mimi bado sijampa jibu maana nina mpango wa kitafuta mwenyewe pia bado nipo katika ukaguzi wa kuangalia yupi anafaa.Povu lenye hoja ni muhimu sana jamani.
  4. Cham Bee

    Hussein Bashe anatoa wapi jeuri aliyonayo?

    Mwenye jibu atupie hapa tafadhali. Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
  5. Cham Bee

    Hivi ndivyo yalivyo machinjio ya mbuzi na ng'ombe Mji wa Shelui Iramba Magharibi

    Pamoja na watu kutozwa kodi lakini hali ipo hivi katika machinjio ya Mji wa Shelui huko Iramba Magharibi.Je viongozi hawaoni kuwa hili ni tatizo?Maana na wao wanashiriki kula nyama.Sijui Mbunge wa eneo hili yupo wapi?
  6. Cham Bee

    Mlinzi wa nyumba ya kulala wageni achinjwa na watu wasiojulikana

    Tukio hili la kuhudhunisha limetokea leo katika kata ya Bukoli jimbo la Busanda mkoani Geita. Katika hali isiyotarajiwa watu wasiojulikana waliingia nyumba ya kulala wageni kisha wakaagiza bia wakanywa baada ya kumaliza kulewa walitekeleza mauaji hayo. Sababu ya kutokea kwa tukio hilo bado...
  7. Cham Bee

    .Siyo kila kila kitu ni cha kukumbatia...Yatawakuta msiyoyategemea...ohooooo

    Waweza kumkumbatia mwenza wako na ukajisikia faraja.Waweza kukumbatia vingi vya kuvutia ukajihisi mwenye amani na furaha.Lakini kinyesi si kitu cha kukumbatia maana hata ujapokukiachia utabaki na harufu.Ushauri wangu kwa kina baba wanaodekeza watoto:Msipende kuwakumbatia wanenu hata kama...
  8. Cham Bee

    Kama ni mwanamabadiliko tupia neno moja au Picha hapa

    Mabadilikooooooooooo
  9. Cham Bee

    Mtoto atelekezwa na baba mdogo atelekezwa na baba yake stand ya Kinyerezi na kuokotwa

    Mtoto mdogo mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka miwili hadi mitatu aliokotwa na msamaria mwema eneo la Kinyerezi stand ya Mbezi baada ya kuachwa na mzazi wake aliyeambatana naye na kumwacha akirandaranda bila msaada kwenye mazingira ya kutatanisha. Msamaria mwema huyo ambaye ni muuza...
  10. Cham Bee

    Kero kubwa: Safari ya kutoka Ubungo kwenda TAZARA ni sawa na safari ya kutoka Ubungo kwenda Morogoro

    Natumai wote ni wazima wa afya nami pia ni mzima, Mpaka muda huu sijalala kwa sababu nilipitiwa na usingizi mzito nilipokuwa natoka Ubungo kuelekea Ukonga nyumbani. Ninachotaka kujua ni kitu gani hasa kinachosababisha maaskari wa usalama barabarani wawe wanapendelea magari yanayotoka TAZARA...
Back
Top Bottom