.Siyo kila kila kitu ni cha kukumbatia...Yatawakuta msiyoyategemea...ohooooo

Cham Bee

JF-Expert Member
Feb 10, 2015
3,516
1,854
Waweza kumkumbatia mwenza wako na ukajisikia faraja.Waweza kukumbatia vingi vya kuvutia ukajihisi mwenye amani na furaha.Lakini kinyesi si kitu cha kukumbatia maana hata ujapokukiachia utabaki na harufu.Ushauri wangu kwa kina baba wanaodekeza watoto:Msipende kuwakumbatia wanenu hata kama wamefanya wao makosa ya wazi maana ipo siku aibu itakuwa juu yenu.MAVI HAYAKUMBATIWI MAANA HATA UJAPOKUYAACHIA UTABAKI UKINUKA.Kuwa makini mzazi wa fulani bin call me jay.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom