Search results

  1. N

    UEFA Champions League sasa ndani ya Facebook

    Ndugu wananchi.... Msimu ujao wa ligi ya mabingwa Ulaya tunaweza kuufuatilia moja kwa moja kupitia Facebook..... Hii ni kwamujibu wa Fox Sports kuungana na Facebook kurusha michuano hiyo moja kwa moja....
  2. N

    Kilicho wakuta Jamiiforums ndio kinawakuta Telegram sasahivi

    Habarini ndugu wananchi..... Mtandao wa kijamii Telegram(wenyemfanano na Whatsapp) unakumbana na kesi yakuhusika na mlipuko uliotokea huko Urusi..... Vikosi vya ulinzi vinautaka mtandao huo(Telegram) kuachilia data zao iliwafanye uchunguzi lkn Durov(mmiliki wa Telegram) anakomaa hataki...
  3. N

    Kitu gani kati ya haya mambo yanayotajwa kufundishwa JKT hakipatikani shuleni?

    Habari ndugu, kama subject inavyosema, mambo yanayotajwa kufundishwa JKT yote yanapatikana mashuleni tena kwa miaka 6. 1.UZALENDO Elimu yetu inatuandaa kua wazalendo toka primary, kupitia somo la civics ambalo ni lazima kulisoma mpaka mwisho. Na walimu wanafanya juhudi kutengeneza vijana...
  4. N

    Mahusiano kati ya pombe, starehe na weekend

    Habari zenu ndugu,... Inavyoonekana hapa kwetu Tanzania mahusiano ya vitu tajwa hapo juu ni makubwa mno, Je! Ni kawaida vitu hivi kwenda sambamba au ni mazoea yamepitiliza....
  5. N

    Stable investments / Uwekezaji imara

    Wakuu, Tunaweza kuzifahamu stable investments, ambapo mtu akihitaji kujiingiza katika uwekezaji huo atapata mafanikio makubwa zaidi baadae... Akhasantenin.
  6. N

    Made in Tanzania

    Ningependa kujua bidhaa zetu za Kitanzania zinazotengenezwa na watanzania. Tuzitaje hapa mahala popote ambapo zipo bila kujali ukubwa wa uzalishaji.... Mimi inaanza; 1. Sabuni za gwanji (nyingi hazina label) 2. Ndala za Masai (nyingi hazina label) Karibu..
  7. N

    Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu

    Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamkokuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wahuduma za simu nchini kufuatia kubadilika kwa vifurushivya mawasiliano. Malalamiko hayo yalikuja baada ya baadhi ya mitandaoya simu kupunguza ukubwa wa data anazopata mtumiajiwa simu anapojiunga na...
  8. N

    Game farming: Biashara ya kilimo itayohusisha mtu yeyote kulima hata kama hana shamba

    Hii ni biashara ninayoiwazia kuifanya siku zote, na kama sitaifanya mimi basi ningependa kuiona ikiwepo (sijajua kama ipo mahala popote, sijabahatika kujua kama ipo) Game farming: Hii ni biashara ya kilimo itayo husisha mtu yeyote kua mkulima hata kama hana shamba Itavyofanya kazi...
Back
Top Bottom