Wadau wa maswala ya intelijensia hii kitu imekaaje?
Hakukuwa na coordination kati yao?
==========
Rwandan President Paul Kagame’s arrival at the Nyayo Stadium to attend the national prayer service for the late former President Daniel Moi was marked with chaos.
A video posted by the Daily...
Wadau natafuta mchanga mlaini kwa ajili ya kupiga plasta kwenye nyumba.
Kwa anayefahamu dereva au mahali unapopatikana anifahamishe tafadhali.
Nipo jijini Dar es Salaam.
Wadau nimejaribu kutumia Uber-app naona "Places Autocomplete Feature" yake ina uwezo wa kutoa suggestions za maeneo mengi na kwa usahihi wa juu zaidi ukilinganisha na ile inayotolewa na "Google Services Places Autocomplete".
Uber wanatumia mbinu gani kuboresha mfumo wao hasa "places suggestions"?
Unatakiwa utafute Daktari mzuri, na siyo hospitali nzuri.
Nenda Hindu Mandal, POSTA, kuna daktari anaitwa Susan, yupo siku J4 & J5 kuanzia saa kumi (10) jioni.
She is the best.
Mwanzoni ilikuwa vizuri kuliko sasa.
Pia tume notice kwamba SMS tunazotuma kwa wapokeaji ambao wanatumia Mobile Operator X (siweki jina la Operator hadharani) zinafika haraka zaidi, kuliko Operators wengine.
Wadau wa Android, nataka app yetu iwe na uwezo wa kupokea SMS (One Time Password) inayotumwa kutoka kwenye server-side kuja kwenye android mobile app.
Nimejaribu kufuata na ku-implement kama ilivyooelekezwa HAPA, lakini hakuna SMS yeyote inayopokelewa na kuchakatwa na mobile app. Server-side...
1. Nimewasiliana naye mara kwa mara hana jibu sahihi
2.Hakuna SLA yeyote
3.Hajatoa low level details kama hizo. Techinally, katupa API spec doc then sisi tuna call API kutuma SMS basi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.