Search results

  1. J

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    Ujinga huu uko maeneo mengi ya afrika. Chukulia mfano wa Nigeria. Wakati mkoloni akiondoka nchi ilikuwa ns majimbo manne. Miaka kadhaa badaye Jenerali Gowan aliunda majimbo mapya na kuifanya nchi hiyo kuwa na msjimbo 12 Leo Nigeria ina majimbo 36 huku baadhi ya watu wakichukua silaha kutaka...
  2. J

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    Siwaelewi wenye mawazo haya, wakati wakipigia debe kugawanya mikoa na wilaya kwa sababu zisizokuwa na mashiko, watu hawa hawataki serikali za majimbo. Sababu za kusogeza huduma ni kudumaza akili. Kwanini huduma hizo zisifuate watu?
  3. J

    Jaji Warioba kuna skendo yoyote ya rushwa, matumizi mabaya ya ofisi, unyanyasaji, kujilimbikizia mali nk amewahi kutuhumiwa nayo?

    Kwanini alitoka kwenye u- Waziri mkuu? wafahamu kesi yake ya kupinga ubunge wake?
  4. J

    Aliyeweka mataa hapa Nyegezi Corner (Njiapanda ya Saut) kafikiria nini?

    Kama wameweza Sgr , barabara haiwezi kuwashinda kama tu nia ya kufanya hivyo ipo.
  5. J

    Aliyeweka mataa hapa Nyegezi Corner (Njiapanda ya Saut) kafikiria nini?

    Naunga mkono hoja. Njia sahihi ni kuipanua barabara hiyo kutoka 2 hddi angalau 4
  6. J

    Ukristo Marekani umekosa Mwelekeo

    Nafikiri ungejipa muda wa kufikiri kabla ya kujibu na pia ungetafuta nyuzi zake humu, ingekusaidia.
  7. J

    Mbunge Ndaisaba Afunguka Mazito: Miaka 3 ya Rais Samia Ilivyoibadilisha Ngara

    Tuwe wavumilivu na kuacha Kukosoa? Hivi mara ya mwisho ulifika lini Ngara? Katika mchango wangu nilitaja vitu mahusus ambavyo umeamua kuvikwepa na kuja na hoja ya uvumilivu. Kama suala ni uvumilivu kwanini huyo mbunge hakumvumilia mbunge aliyekuwepo? Na tueleze wakatii wa kampeni alitumia...
  8. J

    Mbunge Ndaisaba Afunguka Mazito: Miaka 3 ya Rais Samia Ilivyoibadilisha Ngara

    Maskini Ngara. kwa kuwa umeamua kusifia kana kwamba hizo pesa zinatoka mfukoni mwa mtu, basi tueleze pia nani alitoa kiasi gani kujenga barabara ya lami kuelekea nyumbani kwake? Pia atueleze kuhusu kilichiotokea wakati wa ziara ya mkti wa wazazi (T) ktkt eneo inapojengwa hiyo hospitali ya...
  9. J

    Sabodo: Ukaribu wangu na Mwl. Nyerere uliokoa Taifa

    Alikuwa akifanya biashara gani?
  10. J

    Ufisadi wadaiwa kutamalaki Ngara

    taarrifa zinasema DED baada ya kupewa taarifa za ziara hiyo alipanga safari na kuondoka, hivyo hakuhudhuria hata kikao chha barazza la mwdiwani kilkchofanyika ijumaa iliyyopita. DED kimilike amewazuia watendaji wake kuambatana na DC ambaye amewaweka mahabusu mara kadhaa baadhi ya watumishi...
  11. J

    Ufisadi wadaiwa kutamalaki Ngara

    Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Kanali Kahabi ametangaza kuwa hawezi kufanya kazi na DED wa wilaya hiyo. Akiongea katika ziara ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, DC huyo amesema DED na mhanfdsi wa ujenzi wa halmashauri wameshindwa kusimamia miradi na kupelekea ubadhirifu wa fedha...
  12. J

    Nakubaliana na Dorothy Semu Vijana wa Siku Hizi ni Legelege Wanaopenda kubembelezwa hasa Wavulana, Wamekosa Somo la Siasa na JKT!

    Nafikiri arudi afanye home work yake vizuri. Wanaifisadi na kuharibu nchi hii ni wanasiasa wakishirikiana na wafanyabiashara wengi kwa kufanya ufisadi kila leo. Hawa ndio waliopiya JKT na kusoma hiyo siasa anayosema.
  13. J

    Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi)anayejaza warundi nchini kuwa mwakilishi wa vijana

    Sina uhakika kama mtoa mada anaufahamu na wilaya ya Ngara, mazingira na asili ya watu wake. Niharakishe kumuuunga mkono mchangiaji hapo juu kuwa hakuna uhalisia katika bandiko lako zaidi ya hisia. Na ninavyotazana hili uliloleta lina mahusiano ya karibu na uchaguzi ujao. Vinginevyo...
  14. J

    NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

    wadau wakubwa ambao ni wachangiaji, hawashirikishwi kwenye mazungumzo yanauofantika yakidaiwa kuwahusisha wadau. Wadau gani bila wanaowezesha uwepo wa mfuko?
  15. J

    Ukweli mchungu: Vifurushi vipya vya NHIF vitaumiza wanachama zaidi ya kikokotoo kinavyoumiza wafanyakazi

    Kwanza. Naunga mkono pendekezo la kuwa na wanachama katika majadiliano yanayofanyyika badala ya haki ya sasa wanajadili wayu wengine ilihali wachangiaji wakiwekwa pembeni kana kwamba hawama mchango juu ya kinaghoendelea. Tunakoelekea Nhif inaelekea kubaya kwani hata hizo dawa zinazopigiwa debe...
  16. J

    RC Chalamila na mzaha wa kufikirika

    Ndio kwa utashi wangu nimeamua kumpuuza RC huyu wa Dar baada ya kujiridhisha kuwa hastahili nafasi hiyo. ni kubwa sana kwake, ajaribu shughuli nyingine Sina uhakika kama mwamba huyu anayafahamu au amezingatia kuwatumia wanajeshi 8000 kufanya usafi Jan 23 na 24. Kwa sababu:- 1. Wanajeshi 8000...
  17. J

    Ngara: Walimu Wakuu wa Shule za Wilaya ya Ngara, Wachangishana Fedha kwaajili ya Fomu ya Urais ya Rais Samia 2025 na kwaajili ya Mbunge Ndaisaba

    Nasikitika kwa mwandishi kuacha taarifa yake bila maswali haya: 1. Mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbj uliojengwa nyjmbani kwa mbunge ulikuwa na washiriki/ walimu wakuu wangapi? 2. Ulifanyika lini? Na Jumla ya Pesa iliyokusanywà ilikuwa kiasi gani, huku mbunge akipewa kiasi gani na gedha za...
  18. J

    Polisi wanavyoongoza genge la utekaji na kuua

    Kimsingi, unachokiona kwa hawa Polisi wa chini kuna- akisi hali ilivyo kwa wakuu wao na hata jamii kwa Jumla. Ukosefu wa chombk huru cha kuwasimamia askari polisi nchini nj moja ya mambo yanayopelekea askari hawankuwa kama walivyo leo. Ukisikia kauli tena hadharani ya IGP kuwa askari hawezi...
  19. J

    Mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, Shule ya Msingi Nyerere, Moshi kuna shida kubwa. Tunaomba mtusaidie

    kwa hakika mabadiliko hayakwepeki. Lakini je? Hayo mabadiliko yamelenga nini? Ni mabadiliko kutoka hasi kwenda chanya? Na je, na hili mi la msingi. Ingekuwa mabadiliko ndani ya famolia ya DED hakuna ambaye angehoji. Lakini kwa kuwa yanahusisha jamii, hakuna budi kuwa SHIRIKISHI. Haipendezi kwa...
Back
Top Bottom