Search results

  1. M

    Return to Sender

    Song Lyrics: Return to Sender Artist: Elvis Presley Year: 1962 Return to sender, return to sender I gave a letter to the postman, he put it his sack Bright in early next morning, he brought my letter back She wrote upon it Return to sender, address unknown No such number, no such zone We had...
  2. M

    Utofauti wa wanamuziki wa sasa na wa zamani

    Artist: Bob Marley Song: Babylon System Album: Survival Year: 1979 We refuse to be What you wanted us to be; We are what we are: That's the way (way) it's going to be. You don't know! You can't educate I For no equal opportunity: (Talkin' 'bout my freedom) Talkin' 'bout my freedom, People...
  3. M

    Namna ya kuangalia salio kwenye Startimes

    Habarini za kaz waungwana, nimeweka kifurushi cha Startimes lkn bado sipati chanel, ninamashaka hakijaingia km ilivyo kawaida, nawezaje kuangalia km balance ipo? Tafadhari kwa anaejua
  4. M

    Serikali iweke madaktari wabobezi wa kutosha kwenye hospitali za Amana, Temeke na M/nyamala

    Nimekuja na ushauri huu kutokana na kuwa madaktari kunawkt km wanabahatisha vile na ukija kufika Muhimbili utaambiwa tatizo co hilo na unakuta umepoteza muda na pesa na ugonja umefika pabaya. Kuna mama mmoja mtotowake alishituliwa ubongo hadi muhimbili wakataka wajue ni kwann madakari walifanya...
  5. M

    Msaada kuhusu secretariet ya ajira

    Samahani mwenye info ile barua ya unayo attach kwenye ajira portal unaiaddress kwa nani? Secretariat au Taasisi iliyotoa nafasi?
  6. M

    Anayejua utaratibu wa kupata cheti cha kuzaliwa Rita

    Habarini wana jamvi, naomba kwa anaejua utaratibu wa kupata cheti cha kuzaliwa pale Rita. Nataka nijue naanzia wapi na naishiwa wapi, na natakiwa niende na vitu gani. Na vp inagarimu kiasi gani? Naomba kwa aliyewahi kuprocess hicho cheti anaisaidie tafadhari.
  7. M

    Vyeti Feki ambavyo bado vipo Serikalini/hawawezi kuviondoa

    Bado kunawatumishi ambao wanamiliki vyeti visivyokua vyao, wamebahatika panga limewakosa kosa, kutokana na ukweli kuwa: 1. Wamiliki halali walikuwa watumishi wa serikali, lakini walishatangulia mbele za haki, ambao labda wangekuwepo vyeti vingegongana. 2. Wenye vyeti halali sio watumishi wa...
  8. M

    Naulizia studio ya mziki

    Jamani naomba niulize, ni studio gan/ producer gan wa mziki hapa bongo mwenye kiwango cha juu karibia na kimataifa, anayeweza kutengeneza miziki mizuri ya RnB, POP, RocknRoll na Soul? Anaitwa nani na Studio zake zpo wap? Nagharama zao zpoje kwa Audio moja? Co wale wanaojua Zouk na Afropop tu...
  9. M

    Wanaume hunawiri sana kipindi wake zao wakinyonyesha. Je, hili lina ukweli?

    Niliwahi kusikia kuwa wanaume hunawiri sana kipindi wake zao wananyonyesha, sijui hii ni kwasababu ya kupunguza kugegeda au huwa nao wananyonya. Maana pia niliwahi sikia akina mama wengine wanawaanzishia watoto maziwa ya kopo wakidai maziwa hayatoki kumbe hunyonywa na waume zao hivyo Mtoto...
  10. M

    Nilinyanyasika kijinsia

    Mimi ni mwanaume, nakumbuka miaka kama 10 iliyopita, nilikuwa natokea Shamba pekeyangu kwa Miguu huku nilebeba Mzigo mzito begani, kutokana na mvua iliyokuwa imenyesha kwa muda fulani mbele kulikuwa na Mto ambao ulikuwa umejaa. Kabla sijavuka ule Mto nikaona mabinti kama nane hivi wanaanza...
Back
Top Bottom