Namna ya kuangalia salio kwenye Startimes

mangelengele

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,293
Reaction score
1,102
Habarini za kaz waungwana, nimeweka kifurushi cha Startimes lkn bado sipati chanel, ninamashaka hakijaingia km ilivyo kawaida, nawezaje kuangalia km balance ipo? Tafadhari kwa anaejua
 
Piga simu mtandao husika
 
Kama baada ya kuweka kifurushi ilikuletea jina lako ulilosajilia king'amuzi malipo lazima yamekamilika suburi muda utaona channel zimekuja.

Kama hujapata massage ya malipo yenye jina lako ulilosajilia king'amuzi basi malipo hayajakamilika
 
Nahisi ni dish kwan Naambiwa no signal

Back
Top Bottom