Search results

1. E

Mpweke!

Duu una age 24,bado 6 yrs ukanyage 30, duu fanya fasta bwn upate mtoto wa kustick nae forever,hey wadau mpo wap? Mpen msela dili apunguze upweke! Ok am out bro nyagidry na mjan"
2. E

Help me please??

I want to knw why do people always project unpleasant smell when they are overheated?,
3. E

Super stars wa bongo land

ofcoz ndo mana nimesema ni mtazamo wangu jaman it means hata wewe u can view ur coment kwa kulist wakwako ili tuwajue na michango yao!
4. E

Super stars wa bongo land

Mambo vp wazee wenzangu!mimi kwa mtazamo wangu hapa bongo naona tuna masuper staa watatu tu,nao ni AY,HASHEEM THABEET,P.FUNKY AKA MAJAN.coz hawa jamaa wamefanikiwa sana kufanya mambo flan tofaut tofaut na kuteka au kutu represent fresh, tukianza na hasheem hope anajulikana kwa kupiga kikapu...
5. E

Yupo wapi Ezekiel Malongo aliyekuwa RTD kipindi hicho?

we ndo unahitaji ban coz kumbe hata redio anayoitangazia hujui itaje sasa! Ebo we vp?
6. E

List of top universities & colleges in Tanzania 2011

sielewi mantik ya nyie kubishana eti udom ni bora kuliko udsm,hahaha,udom kwa majengo 4sure wapo juu,wingi wawa nafunz4sure wapo juu,wanafunz wamekua wengi pale just bcoz wengi walipata div 2 mpk 4 kwn uongo?then udsm staff yao inatisha mpk international student wanakubali mzik...
7. E

Yupo wapi Ezekiel Malongo aliyekuwa RTD kipindi hicho?

malongo yuko kwao mbulu longtime ile fan ilimshinda coz alikuwa na mambo yake ya ajabu ajabu,alikuwa anagonga mtungi mby mpk sometime anaharibu kaz then jamaa ni mruka sarakas mzur sana,so ameamua ku2tulia huko kwao mbulu
8. E

Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

venance mwamoto kutoka iringa
9. E

Ally kiba apata ajali

Kijana kapata ajali maeneo ya mikumi morogoro, alipokuwa anatoka mbeya,kwenye shoo!forsure cjajua kaumia kiasi gan!ila ma info 2takuwa 2napeana humu,MUNGU AMPE NGUVU.
10. E

Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

mtaje sasa mbn unachelea? Au unamgwaya?
11. E

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Sidhani kama kuna haja ya kupeleka washiriki wa kike kule, manake hawana ubunifu wowote kwani wanachojua ni kusex, then unajua mwanamke aliyewahi kushinda ni mmoja na tena alijiheshim sana. Sasa Bhoke kadanganywa na ernest tena wakafanya mapenzi kavukavu,lotus naye eti ana lipiza,sasa mi...
12. E

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Cjajua walitumia vigezo gan kuwachagua wewe na lotus,ambapo lotus yeye alishaonesha utovu wa nidham mapema na kutolewa,then ukabaki wewe je? Ulidhan kweli unaweza shinda hayo mahela? Umefanya mapenz watu tumekuona je ndio tulichokutuma? Hiv ukifika bba lazma ufanye mapenz? So watanzania...
13. E

Mustakabali wa Mbowe na CHADEMA wazidi kuwa mgumu

Pole!endelea kutunga tamthilia yako!
14. E

Unamkumbuka huyu?

KAMA NAMUONA ALIVYO ZALIWA MMMMMMMMHH KWELI NSIA SWAI LOL'''''"""":msela:
15. E

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Mabere marando ame2pwa kwenye kinyanganyiro cha uspika so 2tarajie ubabe wa makinda ili kunusuru chama chao lakin wapinzan wa ukweli kama chadema watamfundisha kazi manake 2namjua vizuri sana
16. E

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Kura 53 alizopata marando ina maana hakupigiwa na wabunge zaidi ya chadema?? WABUNGE WOTE WANAJUA HAKI ZAO SO AKIKOROGA MAMBO NYIE MTAONA
17. E

Dada wa Tundu Lissu kuchaguliwa viti maalum hii CHADEMA ni ya familia?

kwani kuna shida gani kama mtu ana kwalifikesheni??si bora dada yake kuliko akina viki kamata wanakuja bungeni kuburudisha wazee wa uchakachuaji
18. E

Ephraim Kibonde Jahazi Show

huyo gadna arudie kazi ya kuuza duka tu!
Back
Top Bottom