Ephraim Kibonde Jahazi Show

Unajua mwanzo nilipoanza kuwasikiliza Gadner na Kibonde Clouds Nisiku Ibrahomovich alivyokuja Tanzania sasa wakawa wanaongea kwa staili ya KIKOMEDI nikafurahi nikifikira vipindi vyao vinabusara na ucheshi. Sasa siku nilipomsikia KIbonde akimfagilia Kikwete na Kumkandia Dr Slaa ndipo nilipoamua Kuipotezea Clouds Moja kwa moja na siku nikikuta ndugu zangu wanaisikiliza huwa nawatishia kuwazaba vibao wanaacha!
 
Gadna alikuwa anaishi Moshi kama Bar Maid then akapelekwa Mwanza na muhindi kuuza duka la CDs then akakutana na Mama Tanrose aliekuwa na Tanrose video library pale mbele ya shopaz akiwa kama mpenzi wake na business planner wake then akajishaua cloudz wakampa kazi akakutana na Lady JD amabe alikuwa ni demu wa Ruge jamaa akaoa kutokana na njaa zake akamtema mkewe...kutwaaaa utangaza matangazo ye mkewe kwa ruhusa ya mme mwenza Ruge...aibu sana G Habash kuwa maskini jeuri wewe...
 
Hebu tunaomba anayefahamu CVs za Kibonde na Gardner H. watueleze ili tujue tunajaribu ku "argue" na watu wa aina gani? kwa maana hata lugha haipandi ingawa huwa analazimisha kuizungumza. Anatia kinyaa.
 
Hivi nauliza jamani hiyo Clouds FM ni redio ya CCM? Halafu huyu kilaza Kibonde anapata wapi ubavu wa kuongea issues zinazogusa jamii hovyo hovyo namna hii, amenikera sana. Eti obvious Anna Makinda atashinda Uspika na hizo analysis zake mbuzi!! Sijui nimpe adhabu gani huyu?:sad::spider:

Clouds FM pia ni kielelezo cha uhaba wa creativity katika kuproduce programmes. Maana kama una programmes nyingi nzuri, huwezi ukaweka kipindi kwa muda wa zaidi ya saa porojo tupu. Tanzania tuna uhaba wa producers walio creative, hasa kutengeneza attractive and educational programmes. Matokeo yake tunaona huo muda tuutumie kwa kupiga soga tu.
 
icon1.gif
Anna makinda achaguliwa spika wa bunge la tanzania


Anna Makinda kura 265---------SPIKA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mabere Marando kura 53

Kura zilizoharibika 9


JANA ALIKUKERA POLE SANA LEO ATAKUKERA KWELI KWELI BORA UZIME KABISA
 
mi cjui kwani anakosa timiza wajibu wake km mtangazaji na si mchambuzi maana uwezo wake haumruhusu kuchambua mambo kwan anafikira ndogo. clous fm anaipoteza maskion mwa waelezu itabaki sikilizwa na vilaza wenzake.
 
Mimi nina muda mrefu simsikilizagi kilaza kibonde,nadhani kwanza tuangalie elimu yake ikoje?au ni kada wa ccm maana mara nyingi kwenye hafla za ccm anakuwaga mc.
 
:nono:wana jamii muna comments nzuri sana, lakini munapozungumzia ugonjwa wa mtu hususani HIV wakati nyinyi wenyewe pengine hamjui afya zenu munatuchefua sana mpaka munayoongea inaonekana kama munamuonea wakati munaongea jambo la msingi.... acheni mara moja unyanyapaaji huo
 
wengine jamani kama machizi bora tuwaache wapige kelele ila watakiona baadaye
 
Jamani mnafika pabaya jamani na sie wenye vvu tutajisikiaje jamani ebu punguzeni lugha kali
 
I totally agree with you guys! Kibonde sijui hiyo taaluma ya Utangazaji kajifunzia wapi? Huwa hana point kabisa yaani kichwani ni zero! Clouds nafikiri imekuwa ni Radio ya CCM hilo halina ubishi. We Joseph Kusaga na mwenzio Ruge (tena wewe Ruge ni msomi) mnawezaje kuwaweka watu kama hao wasiokuwa na data halafu wanajifanya wanachambua, hao wanafaa kwenye Jahazi tu lakuongelea mipasho na mambo ya mjini na burudani tu, masuala ya siasa waweke pembeni kwani hakuna wanalolijua, wote ni bogus.

Having said that, I prefer not top mention it here about his status whether it is true or not! Sio vizuri baadhi ya watu hapo juu wanavyocomment about his status. It is not right al all. Lets just talk about things but not his healthy I dont think it concerns us or rather say this is not the place for kunyanyapaana, after all sio wote ambao wamepima humu ndani.
 
Mimi nashangaa kama kuna watanzania ambao wanaendelea kusikiliza Redio kama CLOUDS FM........................
 
Clouds FM ni redio ya ma deejayz tu, hawa akina kibonde na gadna wake wanalazimisha 2 cos kazi hawaiwezi, hulka yao ni udaku, bora wapewe time ktk pindi la gea habibu 2
 
Mafisadi wamekamata nchi....eeh Yehova Shalom tuokoe..................................
 
Hivi nauliza jamani hiyo Clouds FM ni redio ya CCM? Halafu huyu kilaza Kibonde anapata wapi ubavu wa kuongea issues zinazogusa jamii hovyo hovyo namna hii, amenikera sana. Eti obvious Anna Makinda atashinda Uspika na hizo analysis zake mbuzi!! Sijui nimpe adhabu gani huyu?:sad::spider:
Madam T

Kibonde anatetea tummbo lake, lakini hebu niambie... tuache ushabiki kidogo tu kwa muda, hivi wewe ulitegemea kweli Marando kushinda?
 
Kibonde alitabiri uhalisia na leo tutamsubiri katika Jahazi hivi hivi WABUNGE WA CHADEMA KATIKA UKUMBI NI 53 tu?
 
Back
Top Bottom