Search results

  1. N

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Duh! Mkuu naona ndoto zako za kisiasa zimetikiswa! Tuwasiliane kaka nikupe relief!!
  2. N

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    watu wanaongea kwasababu ametajwa Dr Dau! Unachoongea si cha kweli, mimi nimekaa bweni na nimefundisha hiyo shule kwa muda zaidi ya miezi 3, nimeona wanaffunzi kutoka sehemu mbalimbali, ikiwemo kanga, Kirongwe, banja, na hata chemchem! Kulikuwepo na wanafunzi kutoka utende, chole na jibondo! Huo...
  3. N

    Lazima utanivulia

    haya mambo ya kishule enzi hizoo!
  4. N

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Hapa sidhani kama kuna ukweli wowote, kwani mimi naifahamu sana hiyo mafia na viwanja vimegaiwa mara nyingi na hao wanaoitwa wakristo ndio wanavyo na wamejenga nyumba na wanafanya makazi, Maeneo ya kigamboni, hospitali na dongo, kote kuna viwanja, ambavyo wafanyakazi wa serikali wengi ambao si...
  5. N

    Vijana wa CCM tupinge mwenendo mbaya wa dola kwa nguvu zetu zote

    Siwezi kutoamini kwamba ww unajiita ni kijana wa CCM, na matusi kama haya! Kwani kuna baadhi ya vijana tunao kwenye CCM kwa maslahi binafsi! Kama ww upo kwenye UVCCM ungenifaham! Baraza kuu UVCCM(M) Pwani.
  6. N

    Vijana wa CCM tupinge mwenendo mbaya wa dola kwa nguvu zetu zote

    Thanks Mkuu, ila ningependa kukuhakikishia ya kwamba ni kweli nimetumwa, nimetumwa na dhamira ya kweli ya kusimamia ukweli na haki, nimetumwa na dhana ya ukweli kwamba watanzania wamechoka kusikia kila kukicha wanasikia serikali yao inashughulika na mambo ambayo hayana + impact na dhamira yao ya...
  7. N

    Vijana wa CCM tupinge mwenendo mbaya wa dola kwa nguvu zetu zote

    kuwa ccm sio maana yake ukubaliane na kila ambalo linaonekana si sahihi! Ccm hairuhu ukandamizaji wa haki za raia! Mkuu mimi ni ccm na ni kiongozi! Lakini kwa hili nimetoa msimamo wangu binafsi na si kama nimeisemea jumuiya! M.Nyundo
  8. N

    Vijana wa CCM tupinge mwenendo mbaya wa dola kwa nguvu zetu zote

    Ningependa kutoa msimamo wangu juu ya matukio yanayotoke huko Arusha kama kijana Mtanzania, mpenda nchi yangu na watu wake, pia kama kijana kiongozi ndani ya UVCCM. Siridhishwi na hali inayoendelea huko Mkoani Arusha na jinsi suala hilo linavyoshughulikiwa. Siridhishwi na namna ya dola...
  9. N

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    Huyo mkapa si kwasababu aliuza migodi yote kwa wazungu wa dini yenu ndio maana alifaa? Pia aliwauzia wakristo wenzake nyumba za umma, na kujiuzia mgodi wa kiwira! Huo ndio uongozi uliotukuka! Usiongee tu mtu wangu, fanya kwanza utafiati hata mdogo tu, angalia mafisadi wanaoitafuna nchi kama si...
  10. N

    Leo ni Basi la HOOD (T 773 AVL )

    Dah! Mkuu kumbe tupo wote hapa! Mimi nipo huko kwenye kabonde hapa na hawa wazee! Ngoja nikucheck hapo!
  11. N

    Habari za kusikitisha mzumbe university

    India hali ni mbaya kuliko hapa Bongo! Kuna vyuo huwezi kukaa hata week 1 unarudi TZ
  12. N

    Hatma ya Kenya na utalii wetu East Africa

    Kenya ni Transit kuja TZ, sasa sijui itakuwaje hapo!
  13. N

    LIVE: Maadhimisho ya Miaka 50 ya Chuo kikuu cha Dar es salaam

    Wakuu, ITV wapo live kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya chuo kikuu cha dar es salaam, wageni mbali mbali naona wameshafika, na wengine wanaendelea kufika. Miongoni mwa waliofika ni, Rais Mstaafu wa awamu ya pili Al haj Ali Hassan Mwinyi, Jaji Mkuu wa Serikali, Mh Mwinchande, Waziri wa Nyumba na...
  14. N

    Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

    Hakuna maswali ya kujibiwa hapa!
  15. N

    Miji (sehemu) mizuri kwa mapumziko TZ

    kama wataka mapumziko kwa utulivu, wahitaji kukaa ufukweni! Option nzuri, panda ndege hadi kisiwa cha mafia, kuna aidha coastal aviation, ambayo inafanya safari kila siku saa sita na saa tisa, au tropical air saa tano kila siku, fare yao ni shiling laki moja one way! Mafia waweza kufikia butiama...
  16. N

    Mheshimiwa Mbunge wa Arumeru Mashariki ni mgonjwa!

    Breaking news!!!!!!!!!!!!
  17. N

    Jk--- nitachafuka men

    hahahaha!
  18. N

    Waziri Ngeleja aingia club na Aunt Ezekiel usiku wa manane Dom

    uongozi una ethics zake, angetaka mambo hayo asingeng'ang'ania majukumu ya umma! Hawa juzi si ndio waliokuwa wanaambiwa na jk dodoma kwamba waache haya? Tatizo jk ameruhusu wamdharau sana! Na wanamfanya kama tambara vile!
Back
Top Bottom