Search results

  1. Tuwaseme

    Nafasi za Kazi Royalmark Investment Co LTD

    Habari zenu. Royalmark Investment Co LTD iliyopo Dar es Salaam, Tanzania. Leo tarehe 11.5.2018 inawatangazia nafasi zifuatazo za Kazi. 1. Computer Technician (HardWare) 2. Internet Network 3. Weak Electric 4. Electric Elimu uwe na Diploma au Bachelor Degree. Kama una Kigezo Hicho na Ungependa...
  2. Tuwaseme

    Mpishi anahitajika

    Habari zenu. Future Group Company iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam, Inatafuta Mpishi wa Kike anayejua kupika Vyakula mbalimbali vya Kichina. Kama unaweza kupika Vyakula hivyo na Ungependa kufanya Kazi na Sisi tunaomba tuwasiliane kwa namba 0622704744 Ahsante.
  3. Tuwaseme

    Experienced Salesman needed

    Habari zenu. Future Group Company (FGC) iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam, Kiwanda Kinachojishungulisha na Utengenezaji wa Glass Curtain Walls, Balustrades na Bidhaa nyengine za Aluminum kama Aluminum Fence, Aluminum Windows na Aluminum Doors. Leo tarehe 18.4.2018 tunakutangazia kuwa...
  4. Tuwaseme

    Bae niongezee hela ninunue S9+

    Wazee wangu Wamefariki Mkuu
  5. Tuwaseme

    Mfahamu dada anayeongea kwenye simu "Mteja unayempigia hapatikani kwa sasa"

    Mzuri lakini sio Kama sauti yake. Sauti imemzidi uzuri
  6. Tuwaseme

    Mfahamu dada anayeongea kwenye simu "Mteja unayempigia hapatikani kwa sasa"

    Sauti yake nzuri haina uhusiano mzuri na Sura
  7. Tuwaseme

    Wanawake wakati mwingine sijui akili zao hua zinawaza nini

    Hilo ndo tatizo la wanawake wengi hujisahau sana, wakijiona warembo leo wanasumbua sana wanasahau kesho yao.
  8. Tuwaseme

    Bae niongezee hela ninunue S9+

    Anataka ya Milioni 11.5 nimemwambia tumsubiri Yesu kwanza. Hawariziki hawa watu
  9. Tuwaseme

    Bae niongezee hela ninunue S9+

    Jana kaniambia anataka Gari IST nimemwambia asubiri mpaka Yesu arudi kwanza
  10. Tuwaseme

    Bae niongezee hela ninunue S9+

    Juzi tu nimetoka kumnunulia demu wngu simu kama hiyo [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
  11. Tuwaseme

    Love Story: Stolen Love

    Itaendelea muda c mrefu Mkuu
  12. Tuwaseme

    Civil Engineers Wanahitajika..

    Habari zenu. Future Group Company iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam, leo tarehe 14.3.2018 inawatangazia nafasi 5 za Civil Engineers. Elimu uwe na Bachelor Degree. Kama una Kigezo Hicho na Ungependa kufanya Kazi na Sisi tunaomba ututumie CV yako kwenye Email ifuatayo: hrfbde@gmail.com...
  13. Tuwaseme

    Love Story: Stolen Love

    Mkuu nimeshapost Muendelezo
  14. Tuwaseme

    Love Story: Stolen Love

    Mkuu nimeshapost Muendelezo
  15. Tuwaseme

    Love Story: Stolen Love

    “Muda wa kuona Wagonjwa umekwisha, Wagonjwa wanataka Kupumzika” Aliingilia kati Maongezi hayo Mmoja kati ya Wale Madaktari Wawili waliokuwa wakimsukuma Martin kutoka Nje. Baada ya Kusikia Kauli hiyo, Wanafunzi wote walimuaga Angela na kuanza kutoka nje ya ICU. *************** Nje ya ICU...
  16. Tuwaseme

    Love Story: Stolen Love

    Mkuu nimeshaweka muendelezo wa Story yetu
Back
Top Bottom